Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
- Thread starter
- #41
Hivi yataisha kienyeji tu?heee, yaishe!!!!!
Hivi yataisha kienyeji tu?heee, yaishe!!!!!
Kwanini ni raia au feki?Ndio maana basi nna tabia za abroad abroad tu kumbe sio asili yangu hii
me nasikiaga eti alianza mnyarwanda,akaja mwarabu koko,akaja mmakonde wa msumbiji,akaja mtanzania now mrundi nimesikia lakiniSijui ni tanuru lipi hupitia kuchekecha uraia halisia wa viongozi wetu na matokeo yake utata na minong'ono haiishi.
Mzee kifimbo wako wanaamini hakuwa raia pia Mzee wa zama za uwazi na ukweli ni msumbiji na sasa hapa kazi tu wanadai ni mrundi.
Sijui mbichi na mbivu zikoje lakini ni utaratibu upi huwa tunautumia kuhakiki uraia wa wanaikuku?
Isije kuwa raia wasio na hatia ndiyo wanatumbuliwa na mamluki.
Isije kuwa wanatumbuliwa vyeti feki na raia feki kwa maana si raia wa kuzaliwa kulingana na sheria za nchi hii na tunawalamba miguu na kuwatetemekea wazamiaji.
Isije kuwa nchi haijawahi kuongozwa na mtanzania mzawa ila wazamiaji ndiyo wanatutesa.
Katika wanaikulu wote sijasikia Mzee rukhsa au Mzee wa ari mpya na kasi mpya uraia wao ukitiliwa mashaka kwa sababu hauna utata.
Wakati wa ukapa wako raia walifutiwa uraia na kuagizwa wakajiandikishe upya na utawala uliokuwa ukiongozwa na muikulu mwenye uraia tata.
Au ilikuwa kombe mfukuzie mwanaharamu ili shetani apite.
Unapoona kiongozi anazungumzia baba lakini ndugu wa baba au hata kijiji alichokuwa akiishi hakijulikani basi hapo hoja za kuwa baba yake alikuwa mkimbizi kutoka Burundi zinapoanza kushika kasi na kuwa na mashiko machoni pa jamii.
Hivi swali langu bado liko pale pale hivi huyu ni mwenzetu kweli au ni raia feki?
Mwenye majibu ya ukweli ni vyema akatuelimisha
naja
Ningelikuwa na matatizo ya akili nisingehoji ila ningeanika upumbavu wangu. Mimi ni zezeta nielimishe tu ili nisaidie kuelimisha jamii.Una matatizo ya Akili wewe! Kwenye nchi iliyoanzishwa na Mzungu na kupewa Uhuru miaka 50 tu iliyopita unaanza kuhoji Uraia wa watu? Hivi unajua Muhindi anayeishi Kisutu ni Mtanzania kuliko wewe uliyezaliwa Kijijini kwenu Rombo Mkuu huko pmj na ukoo wako wote?
Kigezo cha uraia ni sheria siyo kabilaKigezo/ vigezo cha/ vya kuwa Wagogo ndio raia halali ni kipi/ vipi? Kama Wagogo ni Dodoma, je Tanzania ni Dodoma? Wagogo na wengine ni wepi wamekuwa muda mrefu ndani ya mipaka ya Tanzania ya leo? Wagogo walitokeaje hapo walipo? walihamia hapo? au ndio walipoanzia uhai wao?
Kwa nini? Kama hauna mwisho mzuri ujue ukweli unauma!Miss chagga, plz kaa kimya bado natafuta pesa nikutumie kwenye M-Pesa ili uje tuyajenge mahabati. Haaaa haaaa haaaa haaaa haaaa haaaaaa teeeh teeeh teeeh teeeh teeeh teeeh teeeh.
Sasa, huu uzi sioni mwisho mzuri.
Umetishwa ukatishika!ngoja nirudi mapenzini
Haimaanishi ndiyo wazawa kwa maana walikuwepo hapo wao tu wengine waliwavamia.Sio kweli.wamatengo na wandedeule ni mfano tu wa makabila ambayo huwezi kuyapata mahali pengine duniani isipokuwa mkoa wa ruvuma.. Ingawa kuna makabila kama wangoni.wanyasa.wayao,wamakua wanapatikana nchi zingine
Ukipotea kuna siku utarudi na Kristu Yesu Mungu pekee aliyehai!
Ukiogopa kufa kamwe hutafanya kazi ya Mungu.
Isitoshe hata wakikuua nao iko siku yao si watakufuata tu au wao watabaki milele?
Woga ni adui wa haki!mkuu woga tu
Ni raia wa wapi?Rais wa WASAFI nae siyo raia wa Tanzania
kabisa mkuuWoga ni adui wa haki!
Kwa nafasi nyeti kama hiyo unawavumilia lakini wao wanakubebesha mizigo mizito tena bila huruma!Mungu wangu km kuna kaukweli flaani hivi itabidi tuchimbue kiundani kuhusu hilo na sijui itakuaje mukulu akibainika kuwa ni mrundi ila kiukweli watu wengi wa kanda ya ziwa sio wakuwaamini sana uraia wao lkn kwakuwa wamezaliwa hapa tuwavumilie tu.
Pole kwani mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi pia ni huyo huyoNingekuwa California ningechangia, lakini kwa vile niko Mbagala kwa mtoti maji matitu, sichangii ng'ooo.
Ni mpesa tu duh!We njoo hadi PM, maana naona M-Pesa yangu imeisha anza kunona.
Haaa haaa Haaa teeeh teeeh teeeh teeeh teeeh
Kigezo cha uraia ni sheria siyo kabila