Job K JF-Expert Member Oct 4, 2010 9,314 7,149 May 26, 2017 #1 kitilam May 24 Mwl Nyerere alituongoza kudai uhuru wa kisiasa. Rais @MagufuliJP ameanzisha mapambano ya kudai uhuru wa kiuchumi. Tuwe naye bega kwa bega View details · Haya ndo maneno ya Kitila Mkumbo! Kweli siasa ni unyoko!
kitilam May 24 Mwl Nyerere alituongoza kudai uhuru wa kisiasa. Rais @MagufuliJP ameanzisha mapambano ya kudai uhuru wa kiuchumi. Tuwe naye bega kwa bega View details · Haya ndo maneno ya Kitila Mkumbo! Kweli siasa ni unyoko!
mbarika JF-Expert Member Apr 1, 2015 6,159 8,442 May 26, 2017 #2 Ndiyo maana sipend siasa unafiki tupu
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 93,479 119,309 May 26, 2017 #3 Akifanya atalaumiwa....asipofanya napo atalaumiwa tu! Ndo uhalisia wa kazi ya urais! Kama huna msimamo huwezi kabisa kuifanya hiyo kazi. Ni kazi isiyo na shukurani. Kwenye hili la mchanga wa madini nipo naye asilimia 100!!!
Akifanya atalaumiwa....asipofanya napo atalaumiwa tu! Ndo uhalisia wa kazi ya urais! Kama huna msimamo huwezi kabisa kuifanya hiyo kazi. Ni kazi isiyo na shukurani. Kwenye hili la mchanga wa madini nipo naye asilimia 100!!!
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,590 May 26, 2017 #4 Haya maisha bila unafiki hayaendi...Kashaingia kwenye system hawezi kumpinga tena..Never on earth