Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 16,457
- 31,393
Upo sahihi Mkuu mimi leo kuna sehemu nilipokua niliona trafik wakichukua fedha sio za rushwa faini kiasi kikubwa sana kwa muda mchache nilipokua pale nikafikiri moyoni hii fedha yote Tanzania ingekua inawenda serikalini wizara moja ilikua inakamilika kwa matumizi kutoka Fine izi..lakini hela nyingi zinaishia mifukoni mwao..