Upo ni mfumo mzur wa utawala kati ya ubepari na ujamaa. Kwenye nchi za ubepari wanainch wengi wanaongoza kua na maisha mazur. Wanakula Bata sana ushindani wa kibiashara na uzalishaji uko juu sana. Wana mifumo imara sana ya utawala. Raise hawez kujiamlia mambo peke yake. Mfumo unambana.
Na kwa upande wa ujamaa na ukomonisti. Wananchi walio wengi ni maskini. Ni wachache wanaokula Bata. Wananchi hua hawana maamuzi eanapelekwa kama ng'ombe tu. Wachache ndo wenye maamuzi. Hakuna taasisi imara za kutetea wananchi..
Swali je upo mfumo mzuri