Upimaji wa utendaji kazi kwa kutumia OPRAS hauna tija!

Lanlady

JF-Expert Member
Feb 27, 2019
1,800
6,147
Inashangaza kuona baadhi ya maeneo bado wanatumia opras kama rejea ya utendaji kazi wa watumishi. Ikumbukwe kwamba fomu hizi hujazwa na mtumishi kwa kushirikiana na kiingozi wake.
Kwa asilimia kubwa, hakuna uhalisia katika upimaji kwa kutumia hizi fomu
 
Attachments

  • en-1621503014-OPRA Form-Swahili (1).pdf
    144.2 KB · Views: 7
OPRAS siyo mfumo mbaya. Ila sisi ndo tunautumia vibaya. Tatizo lilianza pale ambapo watu wanatumia generic form badala ya ku customise kulingana na kazi na mazingira. Hizo form za mfano (framework) ndo zinatumika kila mahali. Wabongo akili zao wanazijua wenyewe
 
Inashangaza kuona baadhi ya maeneo bado wanatumia opras kama rejea ya utendaji kazi wa watumishi. Ikumbukwe kwamba fomu hizi hujazwa na mtumishi kwa kushirikiana na kiingozi wake.
Kwa asilimia kubwa, hakuna uhalisia katika upimaji kwa kutumia hizi fomu
Yaani nimebishana sana na Katibu na Afisa utumishi baada ya kuniambia kuwa nisipo jaza hizo OPRAS nisahau kupanda daraja na mshahara .Nina miaka 3 sijaza kwasababu nilikuwa shule sasa wanasema nijaze .Nimecopy na kupaste niwapelekee hata kilichomo sijasoma
 
Watumishi mliopata ajira bila kutoka Jasho (BILA INTERVIEW) kwa maaana ya WALIMU NA MADAKTARI wengi wenu vichwa vyenu mnavijua wenyewe. Ndio maaana productivity yenu ni zero zero maaana hamthamini wala hamna uchungu na kazi maaana mmeiokota tu. Always Easy come haitiliwi uchungu ni sawa na pesa uiokote au upate ya Urithi.
Watanzania Tulipewa UHURU WA MEZANI do you see tunavyochekea UFISADI??
Nenda kule walipigana vita wakapata Uhuru wao Eg. Hapo KENYA rafiki they fight you hata ukipandisha UNGA!
OPRAS is mandatory na hivyo ukiona Mtumishi anaipinga hajitambui na huo utumishi wake ni wa kutiliwa mashaka. Over
 
Akili huna.

Huko kwenye productivity mmazalisha Nini?

Mbona kila siku HASARA
 
Back
Top Bottom