Update: House girl anataka penzi liende hatua nyingine

I surely don't smell any danger. Naamini there must be a way ya kumaintain hii relationship pasi na kuwa na serious consequences. Just trying to figure out, which way could it be?

Siku za mwizi ni 40

40 yako ipo karibuuuuuuu, haswa akihama hapo kwako

Unalo, tamaa uliyonayo itakuvurugia mengi.. na ujue kapewa ushauri na mtu anayemsumulia mambo yenu... usicheze na akili ya mwanamke hata kama unamuona ni sijui beki tatu

Utajuta karibuni
 
Habari zenu wanabodi;

Huu ni muendelezo juu ya ule uhusiano wangu niliouanzisha na haouse girl wa hapa nyumbani kwangu. Nilishalete mrejesho wa namna tunavyoendesha mahusiano yetu na ni kwa kiasi gani kila mmoja wetu amekuwa akifurahia uhusiano huu.

Kilichonirudisha tena hapa leo ni ombi ambalo huyu binti ameliwasilisha kwangu Siku za hivi karibuni. Huyu binti ameniambia hana raha kuendelea knye uhusiano huu akiwa ktk status yake hiyo(Beki3). Na pia , haipo clear kwake ni nini hatma ya huu uhusiano baina ya mimi na yeye. So, ameniambia anatamani, akapange chumba chake mwenyewe eneo la mbali na hapa nyumbani lakini anaomba ili kumuwezesha kumudu maisha basi nimboost kwa mtaji na aanze kufanya kabiashara kokote kale. Amesisitiza sana kuwa haitaji mamilioni mengi, anataka nifikirie biashara yoyote ile nitakayoona nitamudu kumsaidia yeye atafurahi ilimradi aondokane na hii kukaa hapa nyumbani kwani pia anajisikia vibaya anavyomuona dada yake(mke wangu).

Nimekuja mbele zenu wanabodi, ili mnipe ushauri ni approach gani niitumie ili kuweza kutekeleza hilo takwa la huyu bibie in a way ambayo ita sustain uhusiano wetu comfortably??

Natanguliza shukrani kwa michango yenu maridhawa.

Naambatanisha threads zilizotangulia zinazohusiana na mada hii:
Update: Almost Miezi minne (4) ndani ya penzi la house girl

Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

Nafikiria kutembea na house girl
Mtafute nabii tito atakuelewesha vizuri kabisa coz hicho ulichokifanya ni utekelezaji wa mafundisho yake.
 
Swala la msingi hapo ni kufunga naye ndoa..... Kama huwezi basi achana naye.....
 
Wanaume mkoje? Haya ukishampangia chumba kinachofuatia ni kuzaa. Mkeo anapigana na maisha kuiweka familia sawa anakuja keletewa mizigo ya kusomesha love children. Uombe Mungu uishi maisha marefu, Mungu akikuchukua ghafla housegirl ataweza mikiki ya kusomesha au unataka watoto wenye ubin wako wawe omba omba mtaani?
 
Back
Top Bottom