Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,445
Watu wanaitwa wapagani kwa maana kwamba watu walikuwa wanaishi duniani wanamwamini Mungu kabla Yesu hajazaliwa miaka 2000 iliyopita. Dini ilikuwepo kabla ya Yesu au Muhammad au Budha au Krishna. Upagani maana yake unakwenda kwa mganga wa kienyeji unamwambia unataka kumthibiti Magufuli,au unataka mke wako aliyetoroka arudi,au unataka mtoto wako apasi mtihani,kwa hiyo unakutana na huyo mganga ambaye ni neither good nor bad,anakusaidia tu wewe kama ulivyozungumza.