Masele mhunzi
New Member
- May 2, 2024
- 3
- 5
JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI:
ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA.*
Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri Hussein Simba anabaki kuoa wanawake kila siku na kula hela za miradi tu. Hebu ona hii aibu Mama SAMIA katoa hela lakini hadi leo imekwama.
Mbunge naye babu Masare aka Magogo kama amenyweshwa uji wa mgonjwa. Itigi tuna shida sanaa jamani hebu Serikali ituangalie huku. Mwenyekiti wa Chama Wilaya kutwa kumsifia Simba kuwa atakaye mgusa Simba amemgusa yeye au wanakula wote. Mbunge hakuna kitu hapo hajali watu wake na anasema anasubiri mwakani agawe helaaa tu.
KATA YA MWAMAGEMBE.*
● Shule ya Msingi Makulu Mradi ya Uviko 19-Vyumba 8 vya Madarasa toka Msimu wa Mwaka 2021/22 Mpaka leo vyumba vya Madarasa havijakamilika!.Hawa walipewa Million 160.
● Shule ya Msingi Wila Mradi wa Uviko 19 Vyumba vya Madarasa 7 toka Msimu wa Mwaka 2021/22 Mpaka leo vyumba vya madarasa havijakamilika.Hawa walipewa Shilingi Million 140.
● Shule ya Msingi Ngilimalole Mradi wa Uviko 19 vyumba 7 vya Madarasa toka Msimu wa Mwaka 2021/22 Mpaka leo vyumba vya Madarasa havijakamilika.Hawa walipewa Shilingi Million 140.
● Shule ya Msingi Mikese Mradi wa Uviko 19-Vyumba vya Madarasa 7 toka Mwaka 2021/22 Mpaka leo vyumba vya Madarasa havijakamilika.Hawa walipewa Shilingi Million 140.
Simba ndo amefanya ubadhilifu huo wakiwa na Mkurugenzi DED MGALULA aliyehamishiwa Halmashauri ya Kilindi Mkoa wa Tanga. Huku wanapata nguvu ya Chama Wilaya wasiguswa.