Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,733
- 239,338
- Thread starter
- #21
Wataalamu wa mambo ya imani/dini wanadai kwamba kila binadamu ameletwa duniani kwa malengo maalum .Kwamba unakihangaikia chama hadi kuhatarisha maisha??? Usinichanganye maana HUJAFIKIA HATA 1/16 YA ALIVYOKIHANGAIKIA HICHO CHAMA DR W.SLAA..Mbona alitoswa tena kwa kashfa juu??? Hicho kina wenyewe na kama ulidhani na ww ni mmoja wapo (kyusa...safwa..nyiha...nyamwanga..etc) YOU ARE FOOLING YOURSELF..
Changamka mwanangu maisha yanasonga na hayakusubili...Hudumia familia yako wawekee maisha mazur kama hazina ya mbele