stabilityman Senior Member Jul 9, 2024 199 351 Jul 24, 2024 #1 Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
RRONDO JF-Expert Member Jan 3, 2010 54,883 120,002 Jul 24, 2024 #2 Kumbe hata hilo bomba ameleta mama. Haya mikumi tena.
N Nangu Nyau JF-Expert Member Jul 1, 2022 4,380 12,555 Jul 24, 2024 #3 RRONDO said: Kumbe hata hilo bomba ameleta mama. Haya mikumi tena. Click to expand... Hatari sana hii nchi.
RRONDO said: Kumbe hata hilo bomba ameleta mama. Haya mikumi tena. Click to expand... Hatari sana hii nchi.
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Sep 4, 2013 37,898 43,802 Jul 24, 2024 #4 stabilityman said: View attachment 3050511 Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU. Click to expand... Katoa pesa kwenye mshahara wake sio?
stabilityman said: View attachment 3050511 Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU. Click to expand... Katoa pesa kwenye mshahara wake sio?
Massa JF-Expert Member Oct 17, 2012 679 848 Jul 24, 2024 #5 RRONDO said: Kumbe hata hilo bomba ameleta mama. Haya mikumi tena. Click to expand... ukisikia matango pori ndo hayo sasa.
RRONDO said: Kumbe hata hilo bomba ameleta mama. Haya mikumi tena. Click to expand... ukisikia matango pori ndo hayo sasa.
Miguel Alvarez JF-Expert Member May 28, 2019 2,745 5,094 Jul 24, 2024 #6 stabilityman said: View attachment 3050511 Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi Click to expand... Utakuwa umetumwa wewe sio Bure 🤔
stabilityman said: View attachment 3050511 Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi Click to expand... Utakuwa umetumwa wewe sio Bure 🤔
jooohs JF-Expert Member Jul 26, 2017 2,433 9,842 Jul 24, 2024 #7 Kikubwa vijana tumewezeshwa kupitia huo mradi