Siku zinazidi kwenda nime sign mkopo mwez sasa unakatika sijapata chochote kiongozi mwenye dhamana amekua mkali utadhani ni ugomvi bila aibu anakabana na wanafunzi adharani nini maana ya maadili ya kazi???
Unaenda utawala kufatilia majibu yanayotolewa hayaendani na status ya ofisi,fika mnajua changamoto wanazopitia wanafunzi kwanini mnafanya hivi???
Nilipokuwa bado secondary nilijua chuo kikuu ni dunia nyingine ila nayo yaona hapa yananishangaza sana