Ungekuwa mimi, ungefanyaje?

Udochi

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
782
1,056
Waungwana hebu tupeane mikasa na tupate tafakuri za wakuu kidogo.

Kuna siku nimetulia kibandani kwa mwanangu ambaye ni wakala wa pesa za mtandao.
Baada ya muda akaja binti wa kama miaka 20 hivi kutoa hela kwenye simu,
Kimwonekano tu yule binti ni mzuri aiseee!!!.
Alipotoka yule binti, nikamwomba mwanangu anipe ile namba ya simu ya binti kutoka kwenye ujumbe wa muamala, jamaa akanipa simu bila shida, nikaikopi ile namba.

Lejendari nikaanza kuchati na yule binti mpaka night, tukakubaliana aje ghetto kesho mchana.

Muda ulipofika tukachekiana kuwa anakuja,
Nimetulia zangu kwa mbwembwe na bashasha.
Mlango wa geti ukagongwa, nikamwambia ingia, nilikuwa nimeketi kwenye viti tu uani.

Aiseee, liliingia jimama kubwa na bonge hilo la kama miaka 48 hivi!!!
Wakati mimi nina 28.

Mood yote ikaniishia kabisa yaani.

Tukasalimiana,
Nikamuuliza kuwa yeye nd'o mwenye ile namba?
Akajibu kuwa ni yeye.
Nikamwambia tu ukweli kuwa "Samahani Aunt, niliyemdhamiria ni tofauti na wewe."

Wala sikutaka kujua kama huyu maza ni maza wake au shangazi yake yule binti,
Nikampa Buku 5 ya nauli, akaondoka.

Ungekuwa mimi, ungefanyaje?
 
hapo inaonekana ametumwa na hilo jimama. jiulize amgetumwa najibaba Teena Yale majibaba yenye wivu nawatoto wao wakike ungefanyaje
 
Ukabadili jinsia tu

Unaletewa sehemu ya kuweka kikojoleo unaleta maringo?
 
Back
Top Bottom