Unaufahama Msitu wa Ajabu Wa Mtemi Chenge?

weka picha hapa hapa sio mpaka whatsapp unataka namba zetu za nn
mkuu,punguza presha,picha nisha zitupia hapo juu kwenye link!hofu ya nini?ebu zipakue na kisha uzitupie umu ili wadau wazione!angalia hapo juu nilipo andika update,chini yake kuna link!
 
duu ngoja waje wengine mi sijaelewa
mkuu kule wilaya ya itilima kuna msitu wa mbunge andrew chenge,ambae anali wakilisha jimbo la bariadi magharibi!sasa huo msitu upo pembezoni mwa mto simiyu,mto unaoteganisha wilaya za meatu na itilima,na pia ukiwa unatokea itilima msitu uko kushoto na wakati unatokea meatu msitu uko kulia kwako!
 
mdau mbona nishaitupia link hapo juu nilipo update uzi!kama haisumbui ebu ingia facebook kuna jamaa aitwa Yohana Kilimba amezi upload,ukisha zipata ebu zipakue uzii upload umu jf ili wadau wazione,plz,plz,plz?
Hiyo ni kazi yako mleta uzi. Unaogopa nini kuzipakua wewe mwenyewe na kuzileta humu moja kwa moja? Unamwogopa Chenge au nini?
 
Kumbe ndio maana Chenge ana kiburi sana na hakuna wa kumgusa.Duh,hii kali.Sihitaji picha ya huo msitu nisije nikaingiza kwenye simu yangu mapepo.Nyoka wa makengeza noma.
Msitu Huu Uko Wilayani Itilima Karibu na Mto Simiyu Ambao Ndio Mpaka Kati ya Wilaya za Itilima na Meatu.
Msitu Huu Unasifa Zifuatazo:
a)Unamilikiwa na Andrew Chenge Nyoka wa Makengeza
b)Msitu Huu Haukatwi Kuni na Mtu Yeyote Isipokuwa Chifu Chenge
c)Iwapo Mtu Baki Ataenda Kukata Kuni Ndani Basi Aidha Upatwa na Kichaa au Hufa Kwa Magonjwa ya Ajabu
d)Ni Msitu Pekee Tanzania Yote Ambao Ukubwa Wake Hauzidi Eneo la Mramba Kiwanja cha Mpira Chenye Wanyama Wakali
e)Wanyama Hao Wakali ni Kama Chui,Fisi na Mbwa Mwitu
f)Ni Msitu Unaogopwa na Wanazengo wa Itilima na Meatu kwa Kuhofia Nguvu za Ajabu Za Kishirikina Zinazo Patikana Katika Msitu Huo
Anayetumia Whatsapp Aandike Namba Yake Ili Nimtumie Picha za Msitu na Mto Simiyu
 
whatsap +243 999 372777
i have already update the page,and plus putting the link that leads you right away to where you could view the photos!just scroll up there right beneath the word "update"!clink the link and ya gud to go!
 
JOKA lenye maryenge lilotumwa chada mjini.

Among the untouchables in Tz ! joka limejikoki vyema financially na 'vibuyu'.
Hiki kijoka nasikia ukisalimiana nacho kinatoa medicated whiper kisha kinafuta mikono yake.
Pia nakumbuka kuwa kilishawahi naswa na kamera za Bunge kiki Sumbawanga (kikimwaga uchawi)
 
Mkuu mwamini Mungu . Et nimepiga kwa kuibaiba jf raha sana
sasa kama kuni zinakaukiana mpaka kuozeana na hakuna wa kuzigusa we unafikiri nini?nilitaka kuusogelewa msitu ili nipate close up photos,wakati natoka itilima en route to meatu,kuna mwana zengo mmoja alikuja na kuipiga simu yangu chini na kunitaka nisi waletee mkosi na akaniasa kuwa nisisubutu kutelanga kaphoto la sivyo i will be dead in minutes!ndio maana picha zote nimezipigia kwenye gari,tena likitembea!
 
ahahaha,mkuu nisha zitupia hapo juu ebu cheki uzione!fata link hapo juu,au nenda facebook kuna mdau aitwa Yohana Kilimba amezitupia,ebu zidownloda na kisha uzitupie humu

Mbona hatuoni chochote?
 
sasa kama kuni zinakaukiana mpaka kuozeana na hakuna wa kuzigusa we unafikiri nini?nilitaka kuusogelewa msitu ili nipate close up photos,wakati natoka itilima en route to meatu,kuna mwana zengo mmoja alikuja na kuipiga simu yangu chini na kunitaka nisi waletee mkosi na akaniasa kuwa nisisubutu kutelanga kaphoto la sivyo i will be dead in minutes!ndio maana picha zote nimezipigia kwenye gari,tena likitembea!
Umenitisha mkuu hebu Futa huu Uzi Manake habari .inatisha sana Hii asije akatutumia mapepo . Ee Mungu tusaidie
 
i have already update the page,and plus putting the link that leads you right away to where you could view the photos!just scroll up there right beneath the word "update"!clink the link and ya gud to go!
Mshikaji unazingua, umeomba namba uwatumie wasap halafu wao waziweke hapa, wametoa number unasema umeshaaupdate wakati hakuna ulichofanya, hii unaifanya jf kushuka hadhi yake, ningekuwa mods ningekupa life ban
 
Hiki kijoka nasikia ukisalimiana nacho kinatoa medicated whiper kisha kinafuta mikono yake.
Pia nakumbuka kuwa kilishawahi naswa na kamera za Bunge kiki Sumbawanga (kikimwaga uchawi)
chenge ndiye chifu,alwatani,raisi na mfalme wa bariadi na hakuna kapuku yeyote wa kumgusa!
Chenge ni Untouchable Bariadi,Simiyu na Tanzania Nzima Kwani:
a)Amewapelekea Makao Makuu ya Mkoa Wana Bariadi,Utawaeleza Nini Kuhusu Nyoka wa Makengeza?
c)Aliwapiga Kekundu wa Maswa Kuhusu Makao Makuu ya Mkoa,Wana Maswa Walipigwa Kisheria na Kiujanja na Chifu,Nani Asiye Mfahamu?
d)Bariadi Magharibi Huyu Ndiye Alfa n Omega,Waulize Wana Chadema Watakwambia,Chenge Hakuwa na Watu Mikutanoni Tofauti na Nyomi,Ila Kawaulize Kilicho Wakuta
f)Ndiye Roho ya C.C.M Pale Mjengoni,Waulize Lissu,na Zitto
g)Hawamwezi Kwa Kisomo na Uganga!Na Ndiyo Maana Msitu Wake Aukatwi Kuni!
Huyo Ndio Nyoka wa Makengeza Anae Zisaka Hela za Kula na Watu Wake na Sio Kama Mafisadi Wengine Wachoyo!
 
Wenzetu Wanakwenda Anga Juu Sisi Tupo Kwenye Misitu Ukubwa Usiozidi Uwanja Wa Mpira
Najiuliza Kwa Hali Hao Wanyama Kuishi Pamoja Kama Zizini. Chenge Ana Nguvu Ndiyo Maana Anapenya Kila Kona Ccm Ina Hazina Kubwa.
Uganga na Uchawi ni Jadi Yetu,Kama Hauufanyi Wewe Basi Nduguyo
 
Mshikaji unazingua, umeomba namba uwatumie wasap halafu wao waziweke hapa, wametoa number unasema umeshaaupdate wakati hakuna ulichofanya, hii unaifanya jf kushuka hadhi yake, ningekuwa mods ningekupa life ban
slow down,will you?ebu cheki hapo juu kwenye thread,kuna mahali nimeandika update,cheki chini yake utaiona link ya kukupeleka mahala husika,au kama unaona usumbufu,ebu ingia google na usearbh mtu anaitwa "Yohana Kilimba" anatumia akaunti hyo Facebook ameweka profile picha ya Lowasa,ebu angalia halafu ulete mrejesho,plz?
 
Back
Top Bottom