Kwa kweli nyoka wanajuanaUzushi na propaganda mbaya zilikuwa nyingi juu yake ila general alikua mtu powa sana, ikiwa haupo duniani ajaliwe kupumzika kwa amani.View attachment 3015774
Hamza ndio aliachiwa mikoba ya Alqaeda sio huyu msaniiView attachment 3015744
Je wajua? Omar bin Laden, mtoto wa nne wa Osama bin Laden, ni msanii na mwandishi, na sanaa yake inaonyeshwa nchini Ufaransa, ambako anaishi.
Mleta mada ahsante kwa taarifa...
Hivi Kuna watu hawamjui huyu jamaa kipindi kile hakuna simu Wala cha smartphone lakini tulimjua, kuliko Hawa wa Leo aiseeUzushi na propaganda mbaya zilikuwa nyingi juu yake ila general alikua mtu powa sana, ikiwa haupo duniani ajaliwe kupumzika kwa amani.View attachment 3015774