Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,776
- 5,912
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekua na janga kubwa sana la magonjwa yasiyoambukiza, hasa inawapata watu ambao umri unaenda.
Watu wanahangaika na kisukari, shinikizo la damu, kansa, figo, ini na magonjwa mengine yanayotokea na ulaji mbovu au life style mbovu ya maisha yetu.
Nina rafiki yangu mmoja umri miaka 45, ana tatizo la kisukari lililompelekea kushindwa kuperform vizuri kwenye tendo la ndoa, ndoa yao kwasasa ipo taabani mke wake anamdharau sana na kufanya mapenzi hovyo hovyo na vijana wa mtaani, rafiki yangu amepata stress mpaka hafati ushauri wowote wa dakatari, anakunywa soda nyingi na mandazi, vitumbua, chapati nadhani ameshakata tamaa ya maisha.
Nimepata kidogo mashaka juu ya lifestyle yangu, ukizingatia ulaji mbaya ambao nakula hovyo hovyo, nilichoweza mpaka sasa hivi ni kupunguza matumizi ya sukari, imetimia mwezi sijagusa soda Wala juice, hapo mwanzo nilikua addicted sana, napambana kupunguza matumizi ya mafuta japo ni ngumu kuepuka, nimeongeza unywajj wa maji kwa kiasi kikubwa.
Vipi ndugu zangu baada ya kusikia ushauri wa janabi kuhusu vyakula, umefata au umeachana nao?
Umepunguza nini na kuongeza nini?