Umoja wa VICOBA NIT wamtunuku Lowassa Tuzo ya Amani

Wana akili sana,hapo wametega mtego wa noti,,ila lowasa nae kawa mjanja sana sikuhizi,hela hazitoki tena
 
Sura zote ni za kaskazini
Hakuna jipya ni walewale tu waliokuwaga wanajazana nyumbaninkwake dodoma tbt ile
 
Politically, Lowassa is finished!

Kwa sasa anajitengenezea tuzo na kuwatafuta vijana ili wasimame mbele ya kamera kuonyesha wamempa tuzo. This is fun to say the least!

Kesho atatokea kwenye front page ya magazeti ambayo wamiliki/wahariri wake amewanunua!

Usanii wake umeishashtukiwa na Watanzania wengi!

Lowassa is suffering from Mrema political law of diminishing returns!
Mutapaniki sana kadri siku zinavyosonga
 
Mutapaniki sana kadri siku zinavyosonga
Aliyepaniki na kuendelea kupaniki kadri siku zinavyosonga ni yule anayejitengenezea tuzo na kutafuta vijana mitaani ili aundanganye ulimwengu kuwa ametunukiwa tuzo!

Wananchi wengi walishashtuka mapema!

Politically, Lowassa is dying slowly!

Kwa sasa anapita mapito ya kisiasa aliyopitia Augustino Mrema!
 
Wanarudisha shukurani haaaahaaa
Fani ya Usanii jamaa yuko mbali, akanunue tena tuzo nyingine
 
Mimi naamini thamani ya tuzo inategemea na heshima ya taasisi inayokupa tuzo. Ni hayo tu
 
WENYE HEKIMA NYINGI NA KIDOGO LAZIMA TUFIKE MAHALI TUWE WAKWELI PASIPO UNAFIKI WA ITIKADI ZETU ZA KISIASA.

MH.LOWASSA ANASTAHILI KUTHAMINIWA NA KUHESHIMIWA KWA KUWA CHACHU YA MAPINDUZI YA SIASA ZA TANZANIA..

NACHELEA KUSEMA HATA SPIDI KUBWA SANA YA UTENDAJI CHANYA KIMFUMO KTK SERIKARI YA AWAMU YA TANO NI ZAO LA CHACHU ZA UWEPO WA MH.LOWASSA UPINZANI.

AWAMU ILIOPITA ANGEKUWEPO KAMA MH.LOWASA VERY POSSIBLE VIONGOZI WA AWAMU ILIOPITA INGEFANYA MAAJABU KIUTENDAJI KUKIDHI HAJA NA KIU ZA WANANCHI.
 
Lowasa ni tunu ya taifa alistahili kupewa hiyo tuzo kwa uvumilivu wake baada ya kudhulumiwa ushindi
 
Politically, Lowassa is finished!

Kwa sasa anajitengenezea tuzo na kuwatafuta vijana ili wasimame mbele ya kamera kuonyesha wamempa tuzo. This is fun to say the least!

Kesho atatokea kwenye front page ya magazeti ambayo wamiliki/wahariri wake amewanunua!

Usanii wake umeishashtukiwa na Watanzania wengi!

Lowassa is suffering from Mrema political law of diminishing returns!
Wivu utakuua wewe dada
 
Back
Top Bottom