Tetesi: Umoja wa Ulaya kutoa tamko hivi karibuni lihusulo ukiukwaji wa kutisha wa haki za Wamasai wa Ngorongoro

Asante CCM

JF-Expert Member
Jun 22, 2023
527
1,902
Duru ndani ya corridor za Umoja wa Ulaya hapa Nchini hivi karibuni unatarajia kutoa tamko la kusikitishwa na ukiukwaji haki za binadamu wa kutisha wanaofanyiwa Wamasai kule NGORONGORO.
 
Masikitiko yao hayamzuii dalali mwanamke kuendelea na yake. Keshakunja mtonyo wake, hajali wala nini.

Saa hizi yupo busy ku scroll designs mpya za abayah toka Oman.
 
Yaani wahuni wameshafanikiwa kabisa kumuondolea uhalali wa kugombea 2025 Kwa kumuingiza mkenge mama!!

Salama yake ni kutangaza kutogombea!

Cha kusikitisha chawa ndio wahuni wenyewe na sisi tunaotoa mbadala ndio marafiki!!

Mama unatakiwa unifollow nikupe madini!
 
Hii ni nchi huru, hivi Rais wa Bunge la Ulaya bado ni swahiba wake Lissu?
 
Back
Top Bottom