Umeya: Historia ya Dar es Salaam kubadilika tarehe 16 Jan 2016

Hapa Dar ni kilio kila kona. Walala hoi wanalala nje. Mbu,baridi,upepo,wadokozi,ubakaji,njaa!! Vyote ni vyao. Kwa hali ilivyo hata madiwani wa CCM watawapigia UKAWA kura. Wameisoma namba,haisomeki
 
Nikajua kitu cha maana kumbe upuuzi wa bavicha, kama urais vile, mnapigwa chini mnaanza singingizia mmeibiwa!
 
Sijui itakuwa kama Tanga? tungojee siku ifike maana kunahatari ya mkuru kutangazia matokeo makao makuu ya polisi kuwa ccm imeshinda sasa hapo ndo shughuli pevu na wana Dar wakaendelea kuisoma namba,
Yaani kabla matokeo kutangazwa ni lazima washindani wapewe vyeti vyao. Pia mawakala wa kila mgombea wawe na copy za matokeo. Mkurugenzi akitangaza tofauti milango ifungwe aje kutolewa akiwa mmmmhh.... Akili kichwani wana UKAWA
 
Tuongelee hapo pekundu.
"Penye udhia penyeza rupia" wahenga walisema. Mrs Erasto Tumbo tayari anaratibu dili la milioni kumi kwa kila diwani wa CDM ili yeye amegewe milioni mbili mbili kutoka kwa kila diwani. Tumbo anatafuta kura za CCM kutoka kambi ya CDM. Mpaka hapo habari ya "ukawa ni washindi" imeishaota mbawa. Nimeisikiliza clip ya mkakati huo. So this is a fact. Thus, only time can tell the outcome.
kati ya waotaji wa mchana aka wafalme njozi wewe ni muheshimiwa! Erasto tumbo anaratibu tumbo lake tu!
 
hakika ukawa mmefulia, kutoka kuwa na matumaini ya kushika dola hadi kushabikia umeya
 
Wakuu natanguliza salamu,

Baada ya salamu natoa taarifa kwamba kesho kwa mara ya kwanza tangu Mungu aumbe mbingu na ardhi , Dar es salaam ( ILALA na KINONDONI ) itabahatika kupata Mameya wanaotokana na wapenda mabadiliko ya kweli.

Hii ni baada ya Mkuu wa Mkoa huo Meck Sadiki kutangaza rasmi kwamba maandilizi ya uchaguzi huo utakaopigwa kesho yamekamilika .

Iko wazi kwamba idadi ya madiwani wanaowakilisha UKAWA inaiacha kwa mbali sana ile ya chama kikongwe CCM, hivyo bila kumung'unya maneno na hasa baada ya ile marufuku ya waziri Simbachawene kutimua mamluki kutoka kisiwandui UKAWA ni washindi .

Wito wangu kwa wanaccm ni kwamba wavumilie na wajiandae kisaikolojia, maisha ndivyo yalivyo.

Kila la heri UKAWA.
Bado sijasahau walichofanya Tanga hawa wahuni wa CCM, hivyo siwei kujipa moyo mpaka uchaguzi upite!!
 
Ukiwa na meya wa UKAWA anaetawaliwa na Rais CCM tatizo liko wapi. Mnapiga kelele humu na maUKAWA yenu huko Muhimbili Sumaye kapiga simu ikulu anaombwa kuonwa na Rais. Kiko wapi?
unadhani kwanini viti maalum kutoka kibanda maiti na kisiwandui waliletwa ? halafu hilo la sumaye kupiga simu ikulu unaweza kutuwekea kijiushahidi hata cha uongo ?
 
Bado sijasahau walichofanya Tanga hawa wahuni wa CCM, hivyo siwei kujipa moyo mpaka uchaguzi upite!!
yule checkbob selemani au sele boss kama anavyojiita bado hajawa meya wa Tanga mkuu , tunashughulikia hiyo kitu mjomba , hawezi kushinda kizembe namna ile .
 
Wakuu natanguliza salamu,

Baada ya salamu natoa taarifa kwamba kesho kwa mara ya kwanza tangu Mungu aumbe mbingu na ardhi , Dar es salaam ( ILALA na KINONDONI ) itabahatika kupata Mameya wanaotokana na wapenda mabadiliko ya kweli.

Hii ni baada ya Mkuu wa Mkoa huo Meck Sadiki kutangaza rasmi kwamba maandilizi ya uchaguzi huo utakaopigwa kesho yamekamilika .

Iko wazi kwamba idadi ya madiwani wanaowakilisha UKAWA inaiacha kwa mbali sana ile ya chama kikongwe CCM, hivyo bila kumung'unya maneno na hasa baada ya ile marufuku ya waziri Simbachawene kutimua mamluki kutoka kisiwandui UKAWA ni washindi .

Wito wangu kwa wanaccm ni kwamba wavumilie na wajiandae kisaikolojia, maisha ndivyo yalivyo.

Kila la heri UKAWA.
Subiri tuone, hata Tanga jiji tuliamini Meya angetoka CUF ila tumekuta CCM ndio wenye jiji.
 
unadhani kwanini viti maalum kutoka kibanda maiti na kisiwandui waliletwa ? halafu hilo la sumaye kupiga simu ikulu unaweza kutuwekea kijiushahidi hata cha uongo ?
Ungekuwa ni raia ningekupa ushahidi vinginevyo nipe working permit yako. Kule Burundi mi nikija ninaweza kuomba ushahidi kwa Nkurunzinza?Acha ukima
 
Ungekuwa ni raia ningekupa ushahidi vinginevyo nipe working permit yako. Kule Burundi mi nikija ninaweza kuomba ushahidi kwa Nkurunzinza?Acha ukima
kwetu tandika mwembeyanga matusi ni kama salamu tu mjomba , unaweza kuongeza lingine .
 
Kutoka kwenye urais mpaka kwenye umeya. Naona chama kinazidi kupiga hatua. Hata mkishinda nini cha maana mtakacho kifanya? Serikali ndio hiyo ya ccm.
 
Back
Top Bottom