Umepanga kuwapa zawadi gani Wazazi/Walezi wako msimu huu wa sikukuu?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
4,023
14,177
Habari zenu Wakuu,

Wakati wengine wakijiandaa kuwapa zawadi Wapenzi wao sio vibaya nasisi tukawakumbuka waliotulea Wazazi/Walezi kwenye msimu huu wa SIKUKUU.

Mimi Mjanja M1 nimechagua kuwapa Wazazi/Walezi wangu zawadi ya kukaa nao SIKUKUU nzima pamoja na kuwapa zawadi nyengine nyingi including PESA.

SWALI
Wewe Mkuu umejipanga kuwapa zawadi gani Wazazi/Walezi waliokulea msimu huu wa SIKUKUU?

Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris Ufaransa 🇫🇷
 
Back
Top Bottom