Habari za wasaa huu Nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo Hivi hawa Wanaopitisha umeme wa Mradi yani Rea gharama za kuingiziwa umeme ni sh ngapi? Je nina uhitaji wa kwenda kuchukua kadi tanesco na kumuambia fundi wangu aandae mchoro na kutafuta contractor wa kusaini Hio kadi Au?
Cc Koleba