Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

Vipi kuhusu bonded la Wembere, utafiti ulishaisha, unasemaje?
Utafiti bado unaendelea, utafuti wa mafuta na gas huwa unachukua zaidi ya miaka 10, mfano data za gas ni za miaka ya 60 hivi. Hivyo wembere bado kabisa wanaendelea na utafiti.
 
Mkuu Binafsi Mimi nipo interested Sana kujua....I'm passionately curious, napenda Sana kujua regardless nitakifanyia kitu kazi au laah..umesema hapo juu kuwa dhahabu inapatikana kwa uwiano wa 0.004g/tonne, which means that in every 1000kg of stones we have 0.004g of gold...swali langu ni hayo yanakuwa ni mawe ya mwamba wa dhahabu kama ulivosema kuwa always dhahabu inakaa katika mwamba na ikitokea rock weathering ndio tunaipata dhahabu juu ya ardhi kirahisi(placer deposit) au ni mawe yeyote yale yakiwa 1000kg(1T) ndani yake kuna dhahabu kiwango cha 0.004g?
0.004g/tone. Ni everage ya Gold katika dunia. Hii ni sawa na data ya kwamba kila watu 10 sita wana HIV, huo ni wasitani haina maana kili ukikutana na watu 10 kati yao sita wana HIV. Ndiyo maana ya 0.004 ndugu yangu katika uchimbaji
 
ruby garnet pia Kuna uhusiano gani Kati ya dhahabu na mnyama kakakuona.

Je umewahi kuzisikia tuhuma za wachimbaji kule maduarani kuhusu kakakuona.
Hiyo imani tu. Dhahabu haina uhusiano kabisa na mnyama, labda baasi ya mimea flani inaota maeno ya madini kutokana na lutuba ya madini hayo. Lakini kwa wanyama hakuna uhusiano kabisa
 
Back
Top Bottom