Nina digital copy ya poetry book(english), tamthiliya ya kiswahili na digital magazine(kiswahili na kiingereza inayohusu mada mbalimbali, huwa nalitoa kwa mwezi mara moja. Vipi naweza badilisha yote haya kuwa biashara ktk mtandao?
Sijui tatizo liko wapi kwa kwangu inafunguka.Video haifunguki na YouTube naambiwa video not found
Je unatumia kifaa gani? Ni simu au pc.Sijajua namna ya ku-attach pictures na kuzituma, hasa humu jf, nafanyaje? Coz miongoni mwa wateja wangu wamo jf
SimuJe unatumia kifaa gani? Ni simu au pc.
Samahani. Sina jibu la swali lako. Kama una bidhaa / huduma unayouza tayari naweza kukushauri namna gani ya kutumia mtandao kuwafikia wateja wako watarajiwa.Ni kwa namna gani naweza kupata watu wa kunisaidia plan zangu za kibiashara mtandaoni..? Mfano nataka kufuga kuku sasa naomba msaada wa kipesa mtandaoni
Haina mkuu!kampuni yako ina brand?
We mkaliHakuna kitu kinachoitwa sponsored page. Ila kuna sponsored post ambayo ni post za Facebook au Instagram zinazolipiwa kwa ajili ya kuendesha matangazo.
Kufanya hivyo fuata hatua zifuatazo:
Japokuwa kuna maelezo ya kina natumai utakuwa umepata mwanga.
- Hakikisha una kurasa ya biashara kwenye Facebook (business page). Kwa maelekezo jinsi ya kufanya hivyo, kasome blog post yetu ya 'Jinsi Ya Kuanzisha kurasa Ya Biashara Kwenye Facebook' hapa.
- Weka tangazo lako kwa kufuata linki ifuatayo: Se connecter à Facebook | Facebook
- Chagua aina ya tangazo unalotaka
- Walenge watu husika
- Chagua wapi unataka tangazo lako lionekane. Hakikisha Intagram inakuemo katika chaguo lako.
- Lipia tangazo lako. Kufanya hivyo utahitaji visa/mastercard au paypal.
Nategemea siku za karibuni kuandika post ya kina ya Jinsi Ya Kuweka matangazo kwenye Facebook na Instagram. Nita share humu ili na wewe upate faida.
Hivi ukifungua Facebook pages, kama sports, mitindo,.... Unaweza kutengeneza Dolla? Na unatengenezaje?
Naomba mwongozo kufungua sponsored page za fb na instagram