ok i've got a problem on my BBz10...
kwenye blackberry world application zote hazkubal kuwa installed, inataka ni update, ba nkiingia kwny software update haileti chochote,.,
je kuna njia nyingine naweza kui update jwa urahisi zaid?! ili niweze kupata apllications mbalimbali kama whatsapp nd otherz