Ulishawahi kumpenda mtu at the first sight? Tueleze ilikuwaje

Kuna kashenz kamoja kalikuja ofsin dah ***Yaaan nilipo kaona tu nilikapenda kalikua kazuri sana niliforce nikapata no yake sio siri niseme tu ukweli ni moja wa wanawake namkubali sana nashukuru alini bless mambo na mm kwa kukapenda sana nilipiga kavu ili tu nafsi yangu iwe inajua nilisha mkojolea.
 
WanaJF tiririkeni Love at the first sight ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mie ilinitokea kwenye airport moja nasubiri kubadilisha ndege ghafla uso kwa uso,macho kwa macho, tabasamu kwa tabasamu ....alikuwa ni msichana wa kiburushi tukajikuta tunasogeleana alikuwa umbali wa kama mita 17 hivi....wakati zimebaki mita saba ghafla tangazo ndege yake iko tayari anapaswa kuingia mstarini.....duuh tukabaki tukiangaliana tu kwa tabasamu kwa kadiri alivyokuwa anazidi kupotea ndivyo alivyokuwa anazidi kuwa mwekundu na kutokwa na mchozi walahii...sijui yu wapi kwa sasa.
 
Back
Top Bottom