imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 52,829
- 83,176
Lakini sio mfungeni."Hata akiwa mke wangu mkamateni." Statement hii inaonyesha how serious the President is about the war on drugs.
Lakini sio mfungeni."Hata akiwa mke wangu mkamateni." Statement hii inaonyesha how serious the President is about the war on drugs.
Kama huna huna tu hata ukimchukia huyu kwani mali zake zitageuka kuwa zako?Jinsi alivyowazulumu viwanja akina sheikh ponda,na kuweka maslahi yake binafsi mbele ya na kuwadharau waumini wa kiislamu,tazama leo yuko wapi?
Hapo walipo wameanza kufungasha virago kiaina, bila shaka mafurushi ya pesa yameanza kutangulia2020 wahindi wa tz watabadili gia angali, wametumikishwa sana kwa miaka mingi wakilazimishwa hata kutoa hela za kampeni bila wao kupenda, lakini nahisi uchaguzi ujao watafanya maamuzi sahihi kwasababu bila hivyo, wachache sana watabakizwa.
WivuUmasikini hauondoki kwa kumchukia mwenye mali
Wahindi wana umoja sana, watakimbia wote.2020 wahindi wa tz watabadili gia angali, wametumikishwa sana kwa miaka mingi wakilazimishwa hata kutoa hela za kampeni bila wao kupenda, lakini nahisi uchaguzi ujao watafanya maamuzi sahihi kwasababu bila hivyo, wachache sana watabakizwa.
Sio wahindi temeke.Wahindi wana umoja sana, watakimbia wote.
Hawa jamaa ni soft material hivyo hapo alipo ana bp mbaya kabisa.Sio wahindi temeke.
mkuu ebu funga inaonekana kuna mengine mengi mengi unayoManji 2015 alisapoti ukawa ndo maana anaandamwa lakini pia kinachomkera Mkuu ni zile m700 zilizokamatwa Dom wakati wa kumpata mgombea wa ccm wanadai wajuvi wa mambo zilkuwa zinaenda kummaliza magufuli
Hata akihama Karma inamtafuna habanduki!Nafikiri akimalizana na sakata hili kuna uwezekano mkubwa wa kuhama nchi kabla hajaanza kuishi kama shetani...by juma mapunda
Muheshimiwa amesema yu radhi aongoze awamu moja but kazi yake ifanikiweLakini hawa akina Manji si ndio wanaowapa ccm pesa za rushwa wakati wa kampeni kwanini wanamtesa hivi au Magufuli ana amino atatumia jeshi na polisi kushinda uchaguzi ? Make ccm ikifika nyakati za chaguzi wanakusanywa akina mama 200,wanapewa milioni mbili,wanaita vicobaccm
"Hata akiwa mke wangu mkamateni." Statement hii inaonyesha how serious the President is about the war on drugs.
Ndicho kitakachofuata!Apewe referral aende Apollo Hospital
Nimetoka kuwaza hilo muda huu......Sijui akidanja itakuwaje
Yale yale ya Kabwe
Mahakama vipi kumshtak mtu akiacha au akimaliza madaraka ipoje.Muheshimiwa amesema yu radhi aongoze awamu moja but kazi yake ifanikiwe