Ulinzi mkali watanda uwanja wa taifa

Hivi zikitokea vurugu hapo ndani ya uwanja kuna atakae salimika na virungu vya simon sirro kweli?
 
16908731_188045901682454_9171025082825310208_n.jpg

Alokwambia hakuna siasa kwenye mpira ni nani? Kwa vile mmewazuia kufanya mikutano halali ya dharura watafanya lolote kwani tayari ni sugu. Refer Sarafina ya Soda Afrika
 
Kitu ambacho TFF hawakijui ni kujitangaza ulimwenguni kuwa Soka letu si la Amani! Wanadhani wanafanya jambo la busara kumbe ujinga mtupu!
Ukifuatilia kisa utaambiwa Wema, Lowasa na Mbowe watakuwepo uwanjani!
Siku CAF ama FIFA wakitilia mashaka usalama wa viwanja vyetu na wakatoa mwongozo timu zetu zichezee viwanja vya nje mtalalamika?
Tunaingiza siasa kila mahali. Tena siasa za kujinga kabisa.
 
Hizo gharama kubwa wanazotumia wawalipe watumishi na makandarasi wanaowadai kweli siasa mbaya hubomoa nchi,leo nimeamini,kisa Mbowe na Wema!
Hivi mnapoongelea gharama kubwa mnamaanisha gharama zipi hasa?
 
Hii ndio Tanzania nchi yangu, nguvu nyingi kwenye mambo ambayo hayahitaji hata maneno mengi achilia mbali vitendo dah.
 
leo mheshimiwa lowassa yupo uwanjani ni lazima apewe ulinzi unaostahiki
 
Back
Top Bottom