Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

HANA MADA NI YALE YALE YA KUTUKARIRISHA.
Mkuu mimi nipo tofauti na wengine maana sitafuti Waumini wala wafuasi ni utafiti sitafuti umaarufu nataka mjue Mungu yupo wapi na kwanini duniani Mungu hawezi kuja tena wala kutuma mitume wake.
 
Funga bakuli lako utafutI wa hovyo
Mkuu umewahi kujiuliza kwanini ulizaliwa Au una faida gani Kuishi kwanini Usife?
We unaleta imani kali, haifai msikilize kwanza halafu utafakari kwani hicho kichwa cha nini kaka ???????????!!
Mkuu sijatumia lugha kali nitamuelewesha ataamini jioni nikitulia ntamalizia Utafiti wangu atakae elewa sawa asie elewa vilevile yupo sahihi maana hapa ni Kupeana elimu kwa wote bila kujali itikadi na imani kwa yeyote.
 
Mkuu wewe na NASA nani zaidi?
Maana NASA wenzako wameshindwa utaweza wewe bhana?

Acha kupoteza mda wa Waungwana!
 
Mkuu mimi nipo tofauti na wengine maana sitafuti Waumini wala wafuasi ni utafiti sitafuti umaarufu nataka mjue Mungu yupo wapi na kwanini duniani Mungu hawezi kuja tena wala kutuma mitume wake.
KIDOGO NTAKUELEWA TATIZO UMEKIMBIA,UMESEMA HAWEZI KUJA IN MAANA KASUSA.
 
toka zako hapa na utafiti wako uchwaraa.ALLAH anakaa mbingu ya saba juu kabisa.hakuna anayeweza fika iwe malaika au yeyote yule.ni mmoja tu aliyewah kupewa nafas ya kufika nae ni muhammad s.a.w.pekee hata yeye hakumuonaa ila inasemekana aliongea nae.kwa maelezo zaid tafuta kitabu cha safari ya israa na miiraji
 
Wewe mjinga Utafiti unapingwa na Utafiti

Kama huo umeona ni upuuzi,wewe umejuaje kuwa huyo 'allah' yupo mbingu ya saba

Umefanya huo utafiti lini?

Mbingu ipi unayoizungumzia wewe na Ipo wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom