Ukiwaangalia na kuwasikiliza maprofesa wa Tanzania, je unapata kiu ya kuwa profesa?

Kuna yule prof wa telecommunication alikua driver kwenye ubalozi kenya!! Unamkumbuka??

Na yule alinyimwa ukuu wa mkoa akawa analia

Na kuna dr flani wakati wa uchaguzi alisema sadam hussein alikua rais wa kuwait je wamkumbuka huyu?????

Siku yangu imeanza vizuri kwa kicheko
 
We ndo hovyo kabisa..D 4 udsm?? Usitetee ujinga wako kwa kutoka taarifa zisizo sahihi..udsm sio udom bwege wewe..kama huna elimu tulia kalime mihogo
Wapi kataja D 4 UDSM? Hivi mnasomaga kabla ya kuchangia? Kwani hiyo DV4 Haijawahi Ingia UDSM? Kwa taarifa tu hadi la saba aliwahi pita pale acha ulimbukeni wa kihalaiki! Wewe ndio unamwambia mwenzako hana elimu akalime mihogo wakati wewe kwa hiyo hoja tu unaonekana huna elimu hata ya darasa la saba
 
Kutokana na vituko vya hawa wasomi imebidi nilete huu uzi

Binafsi nawaamini wenye elimu ya kawaida-masters kuliko hawa.
Tuanze na lipumba,kajiuzuru uenyekiti cuf Leo anataka kurudi wakati sababu zilizofanya ajiuzuru bado zipo.

Dk mihogo yeye alikimbia kanisa,kakimbia ukombozi wa taifa na kujiunga na wakandamizaji.
Prof wa pesa za mboga naye ni mfano mwingine.
Process kapuya....yeye alikumbwa na misukosuko kutoka kwa kabinti.

Dk bana yeye aliweka uchumi pembeni akawa mpiga propaganda
profesa shivji aliyakana maandiko yake wakati wa katiba mpya

Dk mwakyembe aliyakana maandiko yake wakati wa katiba mpya
Mkuu wa UDOM ni prof na yeye anasema alikuwa anaingiza wanafunzi wasio na uwezo akiogopa kufukuzwa Kazi

Binafsi hawa wanakata kiu yangu ya kupanga vyeti mpaka kuufikia uprofesa....
Prof shivji a

Umemsahau yule wa Morogoro japo si professor ni Phd holder alilia na kusema hana mbele wala nyuma maana yeye ni mtoto wa maskini baada ya kuondolewa ukuu wa mkoa, ni aibu kubwa kwa msomi kujidhalilisha vile

Tanzania ndio nchi pekee ambapo maprofessor/madaktari wa filosofia wanafanya jitihada ya kusoma ili waje kuwa mambumbu Zaidi.
 
Umemsahau yule wa Morgoro alielia kusema hana mbele wa nyuma maana yeye ni mtoto wa maskini baada ya kuondolewa ukuu wa mkoa.
Tanzania ndio nchi pekee ambapo maprofessor wanafanya jitihada ya kusoma kuupata huo uprofessor ili waje kuwa mambumbu Zaidi.
Kweli kabisa
 
Maprof sasa hv ni walia njaa. Nafasi za kuteuliwa ndio zimawaokoa sasa hivi. Na wengi wao wakiacha hizo wakishateuliwa ndio wanaacha taaluma yao wanaingia kwenye siasa.
Mfano Mtaalam Muhongo alikuwa safi kabisa akateuliwa posti ya kisiasa matokea yake kagombea ubunge huyo ni mfano tu.

Siasa ndio kila kitu. Sasa hivi tupo kwenye wakati wa kuona maprofesa, madaktari, na wahandisi ndio wenye uwezo wa kuongoza nchi na kuendesha nchi. Matokeo yake yataonekana soon
 
Hilo tatizo ni kubwa mno, ama sisi hauitendei haki elimu yetu au elimu yetu haitutendei haki sisi. Ukikutana na wengi wa wahitimu wa kidato cha nne, cha sita, certificate, diploma hata digrii, utaona kuna mambo anakosa tena ya kawaida tu ambayo ingetegemewa kwa msomi wa kiwango chake asingetegemewa kuyakosa kutoweza kuyafanya. Usiwalaumu hao maprof. bure.
 
Kuna yule prof wa telecommunication alikua driver kwenye ubalozi kenya!! Unamkumbuka??

Na yule alinyimwa ukuu wa mkoa akawa analia

Na kuna dr flani wakati wa uchaguzi alisema sadam hussein alikua rais wa kuwait je wamkumbuka huyu?????
Chanzo cha watu kutoka kwenye mstari ni umasikini. Tazama kwanini mtu akubali kudahili wanafunzi wasio na uwezo kwasababu ya shinikizo kutoka kwa wanasiasa? ni umasikini. Anaona akifukuzwa tu anarudi undongini! wenzetu ulaya wako tofauti kwasababu wako vizuri.
 
Huyo Lipumba kwa mfano anataka kurudi kwenye chama chenye maprofesa tupu?

Si anataka kurudi kwa chama chenye watu wenye elimu unayoipenda,? Sasa hao wenye elimu wakimpokea watakuwa na tofauti gani na huyo profesa?
 
Maneno ya mkosaji tu ....
Someni ili nanyi muwafikie na msiwavue joho kwa sababu ya wanasiasa wanaotumia siasa zaidi kuliko elimu yao....

Tanzania sijui tutaendelea lini kifikra maana kila aliye juu ni adui wa walio chini yake..hivi mlitaka watu wote tuishi uswahilini
 
Maprofesa huchanganyikiwa
Sababu hawatimiziwi yao
Hupelekea wao kuhangaika na ujasiriamali na kupoteza mwelekeo
Yuko kwenye nyumba ya taasisi ana anza mradi wa ng'ombe wa maziwa
jioni anarudi kayatwika anagomba
mbona leo ng'ombe wametoa maziwa kidogoo?
 
Tafiti uchwara za kuwaridhisha watawala."Majibu ya profesa hayana tofauti na mwanafunzi wa darasa la pili"-Mh.Joseph Mbilinyi
 
Kutokana na vituko vya hawa wasomi imebidi nilete huu uzi

Binafsi nawaamini wenye elimu ya kawaida-masters kuliko hawa.
Tuanze na lipumba,kajiuzuru uenyekiti cuf Leo anataka kurudi wakati sababu zilizofanya ajiuzuru bado zipo.

Dk mihogo yeye alikimbia kanisa,kakimbia ukombozi wa taifa na kujiunga na wakandamizaji.
Prof wa pesa za mboga naye ni mfano mwingine.
Process kapuya....yeye alikumbwa na misukosuko kutoka kwa kabinti.

Dk bana yeye aliweka uchumi pembeni akawa mpiga propaganda
profesa shivji aliyakana maandiko yake wakati wa katiba mpya

Dk mwakyembe aliyakana maandiko yake wakati wa katiba mpya
Mkuu wa UDOM ni prof na yeye anasema alikuwa anaingiza wanafunzi wasio na uwezo akiogopa kufukuzwa Kazi

Binafsi hawa wanakata kiu yangu ya kupanga vyeti mpaka kuufikia uprofesa....
Prof shivji a
Mkuu umemsahau aliyekua mkuu wa mkoa wa Morogoro! Mzee wa "Nimekosa mimi" nae anamiliki phd
 
R

Ukiangalia vizuri na kwa umakini Dr and so called Prof wana matatizo mengi Mno na ni Wabovu sana kwenye utendaji na watu wengi huwa wanasema ni wazuri kwenye flani ya research na academic ila hata huko ni Wabovu mbaya yaani madr na maprof wa bongo darasani kwenyewe kufundisha ni shida research nazo wanafanya wachache na wengi wao ukiwachunguza baadhi walikuwaga na udhaifu fulani so huwa wanasoma kwa ngazi ya udr au uprof kuficha huo udhaifu, wengi pia angalia wamepitia zile njia ndefu za kuunga unga, by the way Umemsahau dr shukuru Kawambwa aliyerestisha elimu yetu in peace, Umemsahau prof Msola, Umemsahau prof Maghembe, Umemsahau prof Rwekaza mukandala aliedumaza Udsm mpaka sasa inatoa elimu magumashi
Nao nibinadamu kama wewe jitaidi na wewe uwe na elimu hiyo labda utatusaidia
 
Umenikumbusha yule prof wa kichina a.k.a air msoga aliyeulizwa kwa nini tz ni maskin akasema "hata sijui kwanini tz ni maskini"
 
Back
Top Bottom