Ukitaka kupungua au kuongezeka mwili, omba Mungu tu utabadilika yeye ndiye muumba umbo la binadamu

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
5,395
11,115
Watu wengi unakuta wanajitesa kubadili maumbo yao ya mwili. Wengine hutumia gharama kubwa mahospitali kubadili maumbo ya miili yao.

Mambo ya mwili Mungu ndiye aliyeyaumba.

Ukitaka kupungua umbo au kuongezeka umbo la mwili funga na kuomba siku tatu omba Mungu tu umbo utaona linaanza kubadilika Sawasawa na ulivyoomba.
 
Mungu yupi huyo aliyeyaumba maumbo ya mwili?

Unaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu huyo!!?
 
Mungu hana habari na mwili wako, ni wewe tu unaamua, nashauri uwe na mwili wa kawaida, ukila sana ni kukufuru, usipokula inavyotakiwa unautesa mwili.
 
Back
Top Bottom