Ukisikia hivi, jua ni kizinga cha hela

Unafanya kazi gani? Jua anakuadiria utamfaa ama laa

Unakuja na gari?

Najisikia vibaya sina hela ya kwenda hosptal

Natamani tuonane ila nywele sijasuka siwezi kutembea hivi

Unaweza nisaidia hela ya saloon?

Naomba unikope hela ntakurudishia baada ya siku 2

nadaiwa ada mwenzio

natamani kuja ila sina nauli

Mwenzio na njaa sijakula

Simu yangu mbovu
* kesho nakwenda kumuona shangazi yangu amelazwa muhimbili.
* jumatatu naenda msibani nimefiwa na baba mdogo kijijini kwetumachame.
* waiki ijayo naenda kwenye arobaini ya bibi yangu.
 
Juzi nimekuta kanakula msosi na wenzake baa tunayokaaga, nikawapiga offer ya bia wote. Nashangaa naambiwa "bebi na chakula tunadaiwa" nikampa makavu na sikulipa.

Situation kama hiyo ilinitokea majuzi tu hapa....teh teh teh.

Nikamwuliza kwa nini kati ya wote hapa bill unanisukumizia mimi.....hakuwa na jibu.

Nikahisi itakuwa ni USA baby....teh teh teh.
 
hawa watu ni wataalamu sana,mmoja Jana kanipiga kizinga kimazingara sana....kafunua funua mapaja pale,kajinyonga nyonga pale,kanionyesha magego weee,kajibaraguza weee mwisho wa ramli hii matata akanichomoa misimbazi kadhaa.Yani mpaka leo asubuhi nimejisikia aibu kutoa sadaka kidogo wakati wa jumuiya....
Basi tu.
 
Akikupiga kizinga haina haja ya kumchunia au kumpiga kalenda ,mwambie ukweli kama nimwelewa atakuelewa tu...
 
michepuko vumbi iyo!! Tafuta kitu cha ukweli mpk demu wako akikiona mwenyewe anakua mpole.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom