47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 332
Tulixa kipago wewe... Kashanielewesha.amesema amejiunga ili tu kuomba ushauri jamani
Tulixa kipago wewe... Kashanielewesha.amesema amejiunga ili tu kuomba ushauri jamani
A
Asante mkuu,
Najuta kupenda tena. Inaelekea sina bahati ya kupendwa nnakopenda.
Nimependa mkuu. Sio kwa kushinikizwa. Mie ni mtu mzime eti... Nitashinikizwaje kupenda?we umependa au ni sababu ya dadako alikushinikiza, jamaa sio muoaji we jiongeze umwache kiroho safi, kukuambia anakuoa ilikuwa gia ya kupata tunda mamy
Bibie una miaka 33 hujajua tu kuwa huna chako hapo??
Watu maarufu na wenye hela kama mimi profile zao huwa ni kumega tu na kuacha, unapomtamkia tu suala la ndoa kengele inagonga kichwani.
Yawezekana anao kama tisa hivi, na wote wanajisifia kama wewe kuwa walimpa mahaba mpaka akafurahia haswaa.
Kifupi umeshapigwa chini, jiongeze tafuta mahali serious, achana na watu maarufu, watu serious na ndoa huwa ni watu decent ambao nyie wakina dada huwa mnawaona " washamba fulani hivi"
Na huo ndio ukweli mchungu, hutaki unaacha
Hapana mkuu... Sina tamaa ya hela kwa kweli. Naridhika na nnachopata. Umaarufu?! Kusema kweli, kwa akili zangu za kiutu uzima na kote nlikopita sikuwahi kufikiri wala kutamani kumpenda mtu maarufu. Na ndio maana hata siku ya kwanza nilimpotezea coz sikutaka kabisa kufall kwake.Kubali ukatae huyo jamaa umempendea hela na umaarufu, ila tu hutaki ku-admit kwa kuogopa kuwa wanajamvi watakupiga majungu Murete
Ha ha ha, mkuu sometime inabidi tuseme tu ukweli aisee.Hahahaha chief umetoboa mule mule nilipotaka. Na bado hawa madem wanajiona hot cake sanaa...nimependa ur comment big time.
Halaf huyo bwana nishamjua....i have like 20% doubts..ila kwa maelezo nimesham note.
Ha ha ha, mkuu sometime inabidi tuseme tu ukweli aisee.
Watu wanalia hii dunia ina shida wakati wao wanazitafuta wenyewe, tangu lini mtu maarufu kwenye siasa halafu akawa na mihela akawa mtulivu kwenye mahusiano??
Ndoa sio lazima mkuu.. Naona nyingi tu zinafungwa kwa mbwe mbwe na baada ya mwezi zinavunjika. Kama ni kupenda ndoa sana, ningeshaolewa kitambo tu. Sio kwamba sikupata wa kunitangazia ndoa huko nyuma, ila tu sikupenda hivo sikuwa tayari kuolewa kisa tu ndoa. Hata sasa siko tayari kuolewa kisa nataka ndoa bali kwakuwa nimependa na kupendwa.Umeona tatizo lako dada yangu mpendwa upo ki ndoa zaidi yaani huna mapenzi bali una mapenzi ya kuonyesha ili upate kitu ndoa,mfano unamwambiaje mwanaume eti kuna waliojitokeza kutoa mahari hivo akupe msimamo??yaani hata mimi nikija nikatangaza ndoa upo radhi kuolewa.Dada yangu m telling you acha mapenzi ya kichina tulia na mmoja huyo huyo weka nae msimamo wacha macho juu.
You said it all brother! Sio dhambi kufall for a star/famous person... ila tu hawa watu ukichagua kuwapenda then ukubali yote,sio watu ambao unaweza ukaingiza miguu yako yote kwenye mahusiano.Wana mambo mengi ya kidunia,na huwa wanachelewa sana kufanya maamuzi ya msingi ya kimaisha kutokana mazingira yanayowazunguka. Pole sana mdada ...hapo it's clear,he's no longer interested with you.Kakutongoza na kuomba game on the very same day. Umejirudisha kwake, akakuambia ana girlfriend, bado ukakubali. Kashakula tunda, sasa anakupotezea. Ishara zote hizo ina maana huzioni tu dada??
Take it from a man; desperate women(excuse my patois) are a turn off. You proved desperate ulipojirudisha kwake, baada ya kuweka ngumu mwanzo. You proved more desperate alivyokuambia ana girlfriend, na ukakubali. You're proving the most desperate anavyoku-ignore, na bado unamfata tu.
The fool is rich, and famous as you say. He got babes throwing apple pies at him from all angles. Not to be offensive, but you're one of them to him.