Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,413
Nikweli lakini ukimwi ni case study mkuu ...Pima magonjwa yote mkuu.kuna magonjwa mengine ni janga la taifa kwa sasa kuliko ukimwi
It's true.ni maamuzi tu nini upime nini usipime wewe binafsiNikweli lakini ukimwi ni case study mkuu ...
hahaha umeua mkuuPia mpime na akili
kweli kabisa mkuuPima magonjwa yote mkuu.kuna magonjwa mengine ni janga la taifa kwa sasa kuliko ukimwi
Hili nalo muhimu aisee!Pia mpime na akili
Unaijua hepatitis B mkuu? Inaambukizwa kwa ngono na haina tiba endelea kupima ukimwi tuNadhani kinachoangaliwa zaidi ni kupima magonjwa ya kuambukiza ambayo hayana tiba. Wote tunajua UKIMWI sio ugonjwa lakini ndo hivyo kwamba hauna tiba na unaambukizwa asilimia kubwa kwa njia ya sex.
Hayo magonjwa mengine kama vidonda vya tumbo au figo hayawezi kusababisha watu wasioane kama wanapendana kwa dhati.
Yote kwa yote, ni vizuri kujua afya yako kwa ujumla na sio kwenye "umeme" tu.