Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,463
dhahabu ni kitu cha kawaida tu, isipokuwa Mungu aimeipa kibali iwe na thamani. so are other gemestones and minerals. tangu enzi hizo kwenye Bible tunasoma mungu anaitambua dhahabu kuwa kitucha thamani alichotupatia wanadamu. ni sawa na sasaivi, Mungu alivyonitamkia mimi kuwa ni mtu wa thamani, hata mzunguruke kooote nitabaki wa thamani tu, hata mtu anichafue vipi, kuna siku thamani yangi itarudi palepale kwasababu kwa asili mimi ni mtu wa thamani. asante Mungu.