Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,146
Demand and Supply ndiyo inayofanya thamani ya kitu. Porini dhahabu haina demand ndo maana ni priceless ila maji ndo yanaweza kuwa na demand. Kwa hiyo siyo thamani si ya kutengenezezwa na binadamu ni thamani kutokana na laws za nature na attraction. Dhahabu ubatikanaji wake ni mgumu na ina gharama kubwa kuichimba lakini ingekuwa inaokotwa kama mawe ina maana supply ingekuwa kubwa kuliko demand na bei ingeshuka. Kila kitu duniani kina thamani katika mazingira fulani ambayo yanategemeana na demand na supply katika mazingira hayo..Bado utagundua dhahab kama dhahab haina thaman kama haijapewa uthaman na binadamu. Maji yana thaman kubwa sana kuliko dhahabu. Sema kwa vile maji ni mengi basi yamepoteza uthaman. Lakini ikiwa umetupwa katikat ya pori kubwa upo peke yako ukaambiwa uchague kilo 20 za dhahabu na lita 20 za maji kipi kitakuwa na thaman kwako?
Uthaman wa dhahabu ni wa kupandikizwa na binadamu. Dhahab kama dhahabu haina thaman. Isipokuwa binadamu waliamua kuipatia thaman hiyo.