UKAWA YAFA RASMI

Baada ya kushindwa Uchaguzi Mkuu 2015 kile kilichoitwa UKAWA kimesambaratika rasmi baada ya washirika waliounda umoja huo kuachana na Agenda ya kudai Katiba.
yule mwenyekiti wa chama flani chenye mbunge mmoja tu ambaye alijitwisha cheo cha "msemaji sana"wa ukawa siku hizi yuko wapi?au ndo kukata pumzi?
 
madai ya katiba ilikua siasa tu. fedha nyingi imepotea kwa madai ya ovyo ya chadema kuhusu katiba halafu wakaingia mitini. wanajidai eti katiba ndio inawanyima ushindi
Suala la katiba sio la chama tawala au wapinzani. Suala la katiba ni la watanzania wote. Acha kuwa kishikizo
 
Tuliweka Mpira Kwapani baada ya kuona tunaenda kuchapwa.Kuwa Mpinzani siyo kazi ndogo.Samahani nimesahau yawezekana ni wapinzani waliosusia Uchaguzi Ilala
 
Back
Top Bottom