UKAWA wataanza lini kujadili bajeti ya 2015/16 naona hawaiongelei

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,992
Wabunge wa UKAWA kila wakisimama hawajikiti kuongelea bajeti iliyo mbele yao iliyoletwa na waziri husika ya 2016/17.Huoni wakichambua labda kipengele fulani cha bajeti kilichopo na kueleza na kukichambua.

Naona wanaongea porojo tu.Akipewa nafasi mbunge wa UKAWA ataongelea maswala ya bunge kuwa LIVE,ataongelea mambo yaliyofanyika miaka iliyopita,na mikashfa ya miaka nenda rudi huko nyuma na baadaye atamalizia kusema Nashukuru Spika kwa kunipa nafasi.

Mbunge pekee niliyemwona yuko vizuri kutoka upinzani kujikita kwenye Bajeti ni ZITTO KABWE tu.Sijaona mbunge wa upinzani mwingine toka UKAWA aliyeongelea bajeti hii iliyopo akachambua vizuri. Wote wanaongea kama wako vijiweni.

Niseme wazi wananchi waliochagua wabunge wa UKAWA walipoteza kura zao bure kabisa.

Wajikite kujadili bajeti ya 2016/17 waondoe porojo
 
true, uko sahihi kabisa, wanatoka povu tu kwa hoja za miaka ya nyuma. Jamani tuna utawala mpya twendeni na hii kasi
 
Ukichunguza hawajaleta mpango mbadala kwa serikali bali ni vijembe na mbwembwe nyingi.Angalau Zitto Katika Michango yake ameanisha nini kifanyike, wapi fungu liongezwe wapi lipunguzwe nk.
 
Tatizo wewe umeanza kuzijua siasa 2015 tena bada lowasa kuhamia ukawa.Hukupata kuona umahiri wa wabunge hao bungeni kabla.Na hujui ni kias gani wameweza kuinyoosha serikali ya CCM .Na huelewi wanamchango kias gani kwa taifa hili.Una angalia mda gani wewe bunge??au unasubir magazeti ya uhuru na habari za mitandao ??hizo ni selective news zinazobeba upande ule unaona unafaaa.
 
Hapo ulipo sukari na mafuta ya kula ni shilingi ngapi?
 
Chefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…