Ukawa Walamba Bingo


Lowassa, Mramba, Yona.

Unawakumbuka?
 
wewe kamanda Magufuli hawezi kuwa ukawa yetu eti kiroho kwa sababu ukawa imekumbatia mafisadi lukuki. huwezi amini agenda kuu ya ukawa sasa si ufisadi tena. imekufaa hiyo. magufuli anatumbua mafisadi. njoo kivingine kamanda tukuelewe. usitukumbushe machungu
 

Sijaelewa namna ambavyo umeanza kuandika pengine ni uandishi chokonozi na pulizia pulizia ili ufahamike kwani sioni uhusiano wa mipango ya ujenzi unaoendelea na kuula kwa cdm ili hali ukijua kuwa ni utekelezaji wa kawaida wa serikali kutimiza azima ya kupeleka huduma kwa wananchi, wasiwasi wangu andiko lako pengine lina lengo la kurudisha nyuma uzalendo na jitihada zinazofanywa na JPM kutekeleza pasipo itikadi, na hivyo kutaka kuona miradi kama hiyo ingehamishwa na kupelekwa ktk halmashauri zinazoongozwa na chama tawala. hata hivyo maana ya kusema haya ni kukutaka kuthamini jitihada zinazofanywa na viongozi wetu pasi kujali wala kupotosha umma kwa maslahi binafsi wala ya chama fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…