Na wakitaka kujiunga IOC msije mkaanza kutoja povu tena, muwaache tu na nchi yao.
Hugo mleta mada kama kawaida yake anabwabwaja tuu.Na wakitaka kujiunga IOC msije mkaanza kutoja povu tena, muwaache tu na nchi yao.
Hugo mleta mada kama kawaida yake anabwabwaja tuu.
Kama jambo hill ni la Wazanzibar wenyewe hao wanajeshi na polisi wanaosafirishwa usikuusiku na kwenda kujazwa kule ni wa nini? Mbona msijikalie kimya kusubiri kitakacho tokea huko?
Basi hiyo katiba na sheria hizo uzisemazo zitakuwa za kijinga haijapata kutokea. Yaani Rais awe na uwezo wa kutangaza vita hivyo lakini anapoona viashiria vya vita hana uwezo wa kufanya lolote kuzuia? Hakuna ujinga kama huo uliopata kutokea popote.Mambo ya ulinzi na usalama ni mambo ya muungano yako ndani ya katiba ya muungano.Kukitokea tatizo la kiulinzi au kiusalama eneo moja la muungano askari kutoka upande mmoja husafirishwa kupelekwa upande mwingine kwani ni swala la muungano.Ndio maana hata Tanzania bara ilipovamiwa na IDD amin wa UGANDA MAELFU YA VIKOSI VYA WANAJESHI TOKA zanzibar vilisafirishwa tanzania bara kwenda vitani kuisaidia Tanzania bara.
Swala la uchaguzi si la muungano.Fanyeni uchaguzi ila kukitokea fyoko fyoko zanzibar bado mambo ya ulinzi na usalama ni ya muungano utaviona vikosi kibao vikiwasili Zanzibar mchana kweupe
Basi hiyo katiba na sheria hizo uzisemazo zitakuwa za kijinga haijapata kutokea. Yaani Rais awe na uwezo wa kutangaza vita hivyo lakini anapoona viashiria vya vita hana uwezo wa kufanya lolote kuzuia? Hakuna ujinga kama huo uliopata kutokea popote.
Ila nadhani theory hii ni yale unayotamani wewe yawe
Basi hiyo katiba na sheria hizo uzisemazo zitakuwa za kijinga haijapata kutokea. Yaani Rais awe na uwezo wa kutangaza vita hivyo lakini anapoona viashiria vya vita hana uwezo wa kufanya lolote kuzuia? Hakuna ujinga kama huo uliopata kutokea popote.Mambo ya ulinzi na usalama ni mambo ya muungano yako ndani ya katiba ya muungano.Kukitokea tatizo la kiulinzi au kiusalama eneo moja la muungano askari kutoka upande mmoja husafirishwa kupelekwa upande mwingine kwani ni swala la muungano.Ndio maana hata Tanzania bara ilipovamiwa na IDD amin wa UGANDA MAELFU YA VIKOSI VYA WANAJESHI TOKA zanzibar vilisafirishwa tanzania bara kwenda vitani kuisaidia Tanzania bara.
Swala la uchaguzi si la muungano.Fanyeni uchaguzi ila kukitokea fyoko fyoko zanzibar bado mambo ya ulinzi na usalama ni ya muungano utaviona vikosi kibao vikiwasili Zanzibar mchana kweupe
Hakuna cha mabadiliko wala nini, hicho usemacho hakipo na ndio maana Shein na Seif walikuwa wanakuja kumuona Magu kujadili naye mambo. Kama haimuhusu kwa nini apoteze muda?Kama sheria za kijinga omba mwakilishi wako au mbunge wako apeleke hoja binafsi utengezwe mswada wa mabadiliko ya sheria zikae utakavyo wewe
Kama sheria za kijinga omba mwakilishi wako au mbunge wako apeleke hoja binafsi utengezwe mswada wa mabadiliko ya sheria zikae utakavyo wewe
YEHODAYA kwa tafsiri yako ya ajabu JPM ni rais wa muungano. Hebu weka wazi muungano ni nini ?!
Oktoba 28, mwaka jana majira ya saa sita mchana kwenye Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilizopo Kilimani mjini Unguja, ilikuwa ndiyo siku ya mwisho kuonekana Jecha hadharani.Gazeti la mwananchi limeandika kuwa UKAWA wamembwagia zigo la swala la uchaguzi wa Zanzibar Magufuli alifanyie kazi.Hivi hawa UKAWA katiba ya nchi wanaisoma au hawaisomi? Swala la uchaguzi wa Zanzibar si jambo la muungano.Utamwagiaje Raisi jambo ambalo si la muungano wakati unajua yule ni Raisi wa muungano.
Huu ndio wakati muafaka wa watanzania bara kuwaonyesha wazanzibari kuwa Zanzibar ni nchi kama wanavyodai na kama walivyopitisha katiba yao ya nchi ya Zanzibar bila kushirikisha serikali ya muungano kwa kuwa walisema wao ni nchi kamili isiyohitaji kuingiliwa kwenye kuunda katiba yake wala uendeshaji wa mambo yake yakiwemo ya uchaguzi.
.......
Wao ni nchi wana katiba,raisi,jaji mkuu,tume yao ya uchaguzi, raisi wao mahakama zao nk waende wakamalizane.
Sitegemei Bunge nalo lijitie halisomi katiba ya jamhuri ya muungano kuliingiza hilo swala kwenye mijadala wakati si swala la muungano
WEWE YAHODAYA UNACHEKESHA HALAFU UNATIA AIBU..KWA NINI UNAKURUPUKA NA VITU USIVYOKUWA NA UELEWA NAVYO? HIVI RAIS WA MUUNGANO MAANA YAKE NI MUUNGANO WA MWANZA NA ARUSHA AU TANGANYIKA NA DODOMA? MBONA UNATIA AIBU? NI RAIS WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NA AMECHAGULIWA NA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ITAKUWAJE ASIHUSIKE NA TATIZO LA UPANDE MMOJA WA MUUNGANO? NAFUU UNGENYAMAZA KULIKO KUJIFANYA UNAJUA KUMBE HUELEWI.MAGUFULI ANAYO HAKI KIKATIBA KUINGILIA MGOGORO WA ZANZIBAR NA KUUTAFUTIA UFUMBUZI KAMA RAIS NA BUNGE PIA LINA HAKI YA KUFANYA HIVYO MAANA NI BUNGE LA MUUNGANO SIYO LA TANGANYIKAGazeti la mwananchi limeandika kuwa UKAWA wamembwagia zigo la swala la uchaguzi wa Zanzibar Magufuli alifanyie kazi.Hivi hawa UKAWA katiba ya nchi wanaisoma au hawaisomi? Swala la uchaguzi wa Zanzibar si jambo la muungano.Utamwagiaje Raisi jambo ambalo si la muungano wakati unajua yule ni Raisi wa muungano.
Huu ndio wakati muafaka wa watanzania bara kuwaonyesha wazanzibari kuwa Zanzibar ni nchi kama wanavyodai na kama walivyopitisha katiba yao ya nchi ya Zanzibar bila kushirikisha serikali ya muungano kwa kuwa walisema wao ni nchi kamili isiyohitaji kuingiliwa kwenye kuunda katiba yake wala uendeshaji wa mambo yake yakiwemo ya uchaguzi.
Ile Katiba ya Zanzibar waliyojipitishia Wazanzibari wakakubaliana sasa ndio inafanya kazi yake.2015 NDIO IMEINGIA KAZINI KISAWA SAWA.
Wabunge wa Tanzania bara wote unganeni kwa hili bila kujali vyama na kutaka swala hilo wakalimalize wanzanibari wenyewe kwenye nchi yao asiweko kibaraka wa kushupalia lijadiliwe.Kumbukeni wazanzibari wanavyokuwa kitu kimoja wakishupalia swala lao la maslahi ya Zanzibar.Seif shariff Hamad anaona Tanzania bara ndiko kuna watu wasiojitambua wakiwemo wabunge hasa wa UKAWA ndio anataka awatumie kama vibaraka wake wa kuingiza hoja ya jambo lisilo la muungano la uchaguzi wa Zanzibar bungeni.Tafadhali bunge liheshimu katiba.
Wao ni nchi wana katiba,raisi,jaji mkuu,tume yao ya uchaguzi, raisi wao mahakama zao nk waende wakamalizane.
Sitegemei Bunge nalo lijitie halisomi katiba ya jamhuri ya muungano kuliingiza hilo swala kwenye mijadala wakati si swala la muungano
Uchaguzi ulishafanyika na kukamilika na CCM ilipigwa na chini na wapiga kura walio wengi. Kinacholazimishwa kufanyika na kitakachofanyika sasa ni Maigizo ya uchaguzi baada ya JWTZ na Polisi-ssm kuteka nyara utangazaji wa kura za uraisi.... Tanzania bara.
Swala la uchaguzi si la muungano.Fanyeni uchaguzi ila kukitokea fyoko fyoko zanzibar bado mambo ya ulinzi na usalama ni ya muungano utaviona vikosi kibao vikiwasili Zanzibar mchana kweupe