UKAWA, tayari Jiji la Dar lipo chini yetu, pambaneni na changamoto zilizopo

Ni wakati wa Ukawa sasa kutatua kero za wananchi kwenye jiji la Dar es Salaam.

Nadhani usahihi ungekuewa ni..."Wakati wa UKAWA kwa kusaidiana na serikali na watendaji kutatua kero za wananchi kwenye jiji la DAR"
 
Kwanza hongereni.Pili mie naona mtihani kwani hao mameya watakuwa na Kibarua cha ziada kuhakikisha mambo yanaenda sawa ktk wilaya zao. Changamoto ya kukusanya kodi. Kodi nyingi zisizoleta migongano ni zile tu za TRA ama zingine ambazo ziko chini ya halimashauri sins uhakika kama wataweza hata kutupigia greda barabara za mitaani. Tunashangilia tu ila hii kazi itakuwa ngum kwa aliyekabidhiwa maana hizi ni zama za blabla.
ukawa hawana bla kama nyie..tulia tupige kazi
 
Issu
Safiii! At least mnakiri kuwa CCM imeshindwa kutatua changamoto hizo kwa kipindi chote ambapo wao ndiyo walizisimamia halmashauri hizo.
e hapa wafanye kazi jiji lote almost liko chini yao sisi wananchi tunachotaka ni kazi tu! Na wasitafute visingizio vyovyote!
 
Wanaukumbi.

Jiji la Dar es Salaam kuwa sasa lipo chini ya UKAWA ni muda sasa wa UKAWA kupambana na changamoto nyingi za Jiji hilo baada ya kupata mameya na manaibu meya Kinondoni na Ilala.

Tatizo kubwa la foleni kwenye jiji la Dar esa Salaam pamoja uchafu mwingi unaozalishwa ni muda wa UKAWA kutatua ili tatizo.

Pia changamoto ingine ni mfumo wa leseni za biashara maeneo ya Ilala na Kinondoni imekuwa kero kubwa kwa wafanyabiashara ni wakati sasa wa UKAWA kupambana na ili suala la leseni.

Changamoto ingine hii mifumo ya ulipaji ushuru wa masoko kama Tandale, Kariakoo, Buguruni na maeneo mengine ni wakati sasa wa UKAWA kulisimamia ili suala hili wananchi wafanye biashara zao bila usumbufu.

Suala la parking kwenye Jiji la Dar es Salaam ni kero kubwa ni wakati sasa wa UKAWA kulitatua wananchi pamoja na malipo ya parking.

Usumbufu mkubwa wa ukamataji ovyo wa bodaboda na bajaji hii ni miradi ya watu ni wakati sasa wa UKAWA kulisimamia hili.
nina imani chadema wataonesha tofauti kubwa katika Halmashauri zao, kama wanavyofanya Moshi
 
Video : Mwalimu Nyerere na utabiri wake kwa ''UKAWA'' alisema ''angalau 'UKAWA' wapewe mji wa Dar-es-Salaam kuuendesha chini ya upinzani ili wananchi waone kama wanaweza'' hiyo ilikuwa mwaka 1995, na mwaka huu 2016 UKAWA imepata nafasi ya awali kuonesha wananchi kuwa wataweza kuendesha nchi 2020.

Mwalimu Nyerere akizungumza kuhusu Upinzani kuchukua Nchi mwaka 1995 , tizama mwenye ''live Mwalimu Nyerere akitoa changamoto kwa upinzani:



Source: Whatsapp videos
 
Taasisi Ya Kuzuia Na Kupambana Na Rushwa(Takukuru) Imegundua Ufisadi Wa Tsh 78 Millioni Kwenye Manispaa Ya Moshi Kwa Kutekeleza Miradi Hewa.Tusubiri Dar Liwe Jiji La Vurugu Na Matusi Na Maandamano Source: Mwananchi Fb Page.
 
Back
Top Bottom