Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
- Thread starter
- #41
Unachanganya mambo, inawezekana hujui kabisa mambo yanavyofanyika katika kuomba na kupata miradi hii, kuna consultants na contractors, consultants tunakuta ma Architects, Engineers, Quantity surveyors n.k. Hawa ndio wanahusika na feasibility study, design na preparation of tender docments, evaluation na supervision.
Mkandarasi kazi yake ni kutekeleza kilichopo kwenye michoro, kulingana na vigezo, masharti na maelekezo wanayopewa na hawa consultants, na kwenda kinyume na hapo ni kujitafutia matatizo.
Kosa liko kwa consultants kama walishindwa kukagua kazi kama zipo katika standard zao na matarajio yao, wao walitakiwa kukagua na kuthibisha
Kosa lipo kwa mkandarasi, kama alifanya kazi chini ya kiwango na hakurekebisha na kama aliwapa consultants rushwa ili apitishe kazi zao
Kosa kubwa lipo kwa hao walioipokea hiyo miradi na kuridhika nayo. Ina maana hawakuwa competent kung'amua
Kumsimamisha mkandarasi pekee ni kosa kubwa sana wakati kazi imekubaliwa na waliokuwa wanamsimamia, na kuwaacha wasimamizi na waandaaji wa huo mradi ina maana kuna uonevu unaondelea
Mkandarasi akitumia material zisizo na kiwango ujue kabisa engineer consultant karuhusu, akijenga kitu ambacho sicho ujue kabisa ndivyo alivyoambiwa ajenge,
Yote haya mjenzi anayajua ndio maana anweza kusoma na kulewa. but barabara mbovu na isyokidhi viwango vya ujenzi anahusika mjenzi. Engineer ama mkandarasi hana pa kusingizia. Ni mfano Phamacist, tabibu na nesi Dokta ameshindwa kuona dalili na kumpa dawa ambazo yeye anajua akimpa mgonjwa anakufa. Msidharau fani ya engineer kizembe