Nilijibu as kichwa cha mleta MadaSukari ndiyo kipimo pekee cha hali ya maisha?mbona hujazungumzia opportunities?mbona hujagusia unemployment rates between? Hujasema kenya au uganda as a governments expenditure yao ikoje!! Bajeti yao ni kiasi gani na kiasi gani bajeti yao inaathiri maisha ya mtu mmojammoja!! Kwa mfano wako wa sukari unaweza kuwaaminisha wajinga kuwa hali ya maisha ya waingereza ni mbaya kuliko ya somalia! Kwa sababu kilo moja ya sukari UK kwa pound ni zaidi ya bei ya kilo moja ya sukari when you convert £ to somali currency!! Unajua expenditure ya mmarekani kwa siku tu just for basic needs?je kipato Chao kwa siku/saa? Think twice!