MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Hata wewe kama unataka uhukumiwe mapema/haraka, fanya ujambazi halafu ukamatwe na wakikufikisha mahakamani na kukusomea mashitaka, ukubali kuwa ni wewe umefanya ujambazi ili uone kama mahakama itachelewesha hukumu yako
Baadaye njoo tena hapa utupe mrejesho wa kesi yako!
Yaani washitakiwa wamekubali mashitaka halafu unataka mahakama ifanye nini zaidi ya kutoa hukumu.
Tumieni hata common sense kabla ya kuanza kufikiri namna ya kutoa malalamiko!
Ikumbukwe, hukumu ya mauwaji bado haijatolewa kutokana na uwezo wa mahakama kisheria kwenye kusikiliza kesi za mauwaji.