UK Prime Minister Theresa May calls surprise general election on june 8

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
15,502
22,354


Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ameitisha uchaguzi mkuu wa mapema nchini humo ambao utafanyika tarehe 8 Juni.

Ameliomba Bunge la Commons kuunga mkono pendekezo lake hilo hapo kesho, ambapo ndipo liidhinishwe, litahitaji kuungwa mkono na theluthi mbili ya wabunge.

Amesema Uingereza inahitaji mazingira ya uhakika na uthabiti kufuatia hatua ya taifa hilo kupiga kura kujiondoa kutoka kwa Umoja wa Ulaya mwaka jana.

Bi May amesema: "Nchi unaungana pamoja, lakini Westminster (Wabunge) hawaungani pamoja."

Uchaguzi mkuu ulikuwa umepangiwa kufanyika 2020.

Bi May alikuwa amesisitiza kwamba hataitisha uchaguzi wa mapema.

Lakini akitetea msimamo wake huo mpya, amesema: "Nimeamua kwamba njia pekee ya kuhakikisha uthabiti na usalama miaka ijayo ni kuandaa uchaguzi huu."

=====
Theresa May the UK prime minister has announced that there will be a general election in UK in June 8 this year.

As she called "snap" election , she made announcement outside number 10 Downing Street arguing division in Westminster "risks our ability to make a success of Brexit".

She continued on her statement - "Our opponents believe that because the Government's majority is so small, our resolve will weaken and that they can force us to change course. They are wrong.

They under-estimate our determination to get the job done and I am not prepared to let them endanger the security of millions of working people across the country."

Mrs May has said that without a General Election, "political game-playing" would affect negotiations with the EU when they reached their "most difficult stage".

She added: "Because we have at this moment a one-off chance to get this done, while the European Union agrees its negotiating position and before the detailed talks begin."

Two-thirds of MPs need to support PM's motion in vote tomorrow for snap election to take place. She said, "Division in Westminster will risk our ability to make a success of Brexit"

Conservatives currently enjoying 21% lead in opinion polls.
 
hii ya kuitwa 'snap election' ni nini mkuu?

Snap election ni uchaguzi ambao hufanywa bila kutarajia na ambao una lengo la kutumia mwanya wa chama kinachoongoza kupata uhuru zaidi wa kutekeleza jambo muhimu ambalo linatawala kwa wakati huo.

Hivyo kwa sasa suala la Brexit linatawala nchini Uingereza hivyo huyu mama anataka kuwa na uhuru wa kutekeleza jambo hilo bila kuwa na wasiwasi wa kuulizwa na wale wanaozungumza kwamba hakuchaguliwa kwa kura.

Hivyo kwa kuwa katika kura ya maoni chama cha wahafidhina au "conservatives" wanaongoza kwa asilimia 21, basi wanaamini wananchi watawaunga mkono katika uchaguzi na hivyo kuwapa nguvu zaidi.
 
Na £ ndio inaporomoka tena duu

Hapana, labda hufuatilii tu mkuu.



Baada ya huyu mama kumaliza kuongea pauni ya Uingereza imepanda tena kwenye soko la fedha na sasa inasimama kwenye 0.1% kwa dola moja dollar ikiwa ni pauni 1.257 kutoka 0.3% ilipokuwa kabla ya hajaongea.

Pia pauni moja imekuwa sawa na euro 1 kwa pauni 1.180 - hivyo kupanda kutoka kwenye hasara ya 0.4% ilokuwapo kabla hajaongea.
 
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ameitisha uchaguzi mkuu wa mapema nchini humo ambao utafanyika tarehe 8 Juni.

Ameliomba Bunge la Commons kuunga mkono pendekezo lake hilo hapo kesho, ambapo ndipo liidhinishwe, litahitaji kuungwa mkono na theluthi mbili ya wabunge.

Amesema Uingereza inahitaji mazingira ya uhakika na uthabiti kufuatia hatua ya taifa hilo kupiga kura kujiondoa kutoka kwa Umoja wa Ulaya mwaka jana.

Bi May amesema: "Nchi unaungana pamoja, lakini Westminster (Wabunge) hawaungani pamoja."

Uchaguzi mkuu ulikuwa umepangiwa kufanyika 2020.

Bi May alikuwa amesisitiza kwamba hataitisha uchaguzi wa mapema.

Lakini akitetea msimamo wake huo mpya, amesema: "Nimeamua kwamba njia pekee ya kuhakikisha uthabiti na usalama miaka ijayo ni kuandaa uchaguzi huu."
Chanzo: BBC
 
Ok mimi nilifikiri matamko kama hayo inashuka.
Asante kwa ufafanuzi ntafuatilia
 
What I’m happy from Theresa, is the risk she is taking for the sake of her Country as it is a game of gamble which can jeopardize her political future. I’m not sure how many African countries would follow her step risking their career and sweetness of power for interest of uniting their nation, I think we have something to learn if we agree that African Country like Tanzania is democratic and citizens are on top on setting the rule of law and national interest. I salute her decision.
 

Good and positive entry.

Also there is something called "voting intention" which predicts and give the precise outcome of what the electorate are thinking of any party.

As it stands, the conservatives are leading way ahead.

The opinion poll generator called YouGOv has given the indicators as follows:

With the PM calling a general election for 8 June, here's YouGov's most recent voting intention

Con - 44%

Lab - 23%

LD - 12%

UKIP - 10%

So , from this , you can clearly see her confidence with the voters to take brave decision for snap election.
 
Africa leaders would not follow such step because our leaders think about themselves first and not their people or national interest. Even if their regular terms ends, they always try to manipulate or wishes to seek another term so they can stay longer. See Kagame , Kabila and Yahya Jammeh as examples.
 

Agree with you on Kabila and Yahya Jammeh but not Kagame.

Also it depends on which side of argument you are on whether on economic, social or political.

If you've been in Kigali you wouldn't take 5 minutes to see the difference between the three in terms of economy as soon, Rwandaair will start to fly to Gatwick in London as a direct route.

This is clearly of indication that Kagame has done some good things if you compare the three.

Kinshasa is the worst of all n terms of economic developments.
 
uzuri kwa wenzetu mamlaka yanatoka na ni kwa ajili ya wanachi. Afrika mamlaka yanatoka na ni kwa ajili ya matumbo yetu.
 

wamuulize Hillary, hana hamu na kura za maoni
 
The question is not about to measure economic achievements gained in order to cling on power pls. If that was the yardstick Washington woudnt have left the white house and many others,the issue of Kagame and his company it's power-greedy.
 

I agree with how Rwanda has developed on various sectors under Kagame leadership. My reason to mentioned him was to show how our African leaders their attitude are. Kagame he called referendum vote to seek additional term isn't? And people give him a mandate that's is a good thing democratically. However, despite all the good things he has done he should have step aside and let other suitable candidates took over where he left off. Otherwise how long would he remain in power because he did the good things? This would not be the case in western contries where we are learning our democracy. Once someone else term is finished the rules will not change or overwritten.
 
The question is not about to measure economic achievements gained in order to cling on power pls. If that was the yardstick Washington woudnt have left the white house and many others,the issue of Kagame and his company it's power-greedy.

But you forget that Africa has its own way of conducting its politics.

The same in Turkey where Mr Erdogan on Sunday won the referendum to rule Turkey until 2029.

Every sovereign country has its own way of running its affairs according to its constitution.
 

We shouldn't be learning democracy from the West and America as this seems to be the main problem of we Africans.

Kagame did not seek referendum because he did good things.

Kagame wanted referendum from the voters so if win then he has mandate to carry on finishing his political projects.
 
Pls democracy is known in every county its guidede by the constitution written and agreed upon. Just say that likes of Kagame and company know how to manipulate issues in Africa in there own way they know better.
 
Mmmmmh

Asije akageukwa na wapiga kura na kujutia.

Ameamua kuchukua "risk" ili kuweza kuwa na uhakika na utawala wake.

Hata hivyo chama cha Labour kimekuwa kikijiandaa na jambo hili tangu Theresa May alipoteuliwa kuwa waziri mkuu.

Wabunge wa chama cha Conservatives wanaoleta tofauti ya kura zikipigwa ni 17.

Jumla yao wote kwa chama cha Conservatives ni 330, Labour wana wabunge 229, chama cha SNP ni 54 na waliberali ni 9.

Hivyo ni wazi anacheza Kamari lakini ni hatua muhimu alochukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…