UK demand more information about why British Muslims were barred from flying to USA

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Ok trump aliposema watu walimwita racist .Sasa umegundulika waislam wengi wanakataliwa .Obama administration imewakalia watu kuingia.Ni heri ya trump
Aliyeamua kusema wazi wazi .Huu sio unafiki wa obama kweli ?
 
Uamuzi wa kusimamisha familia hio kusafiri haukuja kwa kukurupuka, na hauhusiani na Donald Trump wala Baraka Obama.

Ndani ya familia hio kuna kijana ambae ana kahistoria fulani ambako pengine kamemtangenezea kitu kinaitwa "profile" mbaya.

Hivyo basi kwa kuwa familia nzima ilifanya maombi ya kusafiri kwenye tovuti ya uabalozi wa US, na pia kubook tiketi kwa pamoja basi uamuzi wa kumsimamisha huyo kijana unaathiri familia nzima bila kujali athari zake.

Kuna taratibu na vikwazo 60 vya kuvuka kabla hujakubaliwa kupanda ndege kwenda USA na hivyo havihusiani na dini wala Imani ya mtu bali vimewekwa tangia 9/11 na vinakuwa vinaboreshwa kila mara.

Ndani ya vikwazo hivyo kuna mambo kama historia yako ya kusafiri, sababu za kiusalama, afya na hata historia ya uhalifu.

Donald Trump anazungumzia jambo ambao lipo na hazungumzi kwa kukurupuka ni sheria tu ambazo tayari zipo ndizo anazozizungumzia.

Hivi majuzi vikwazo hivyo vimeboreshwa zaidi baada ya shambulizi la Paris na lile la California, hivyo kufanya usafiri wa baadhi ya raia kuwa chini ya upembuzi yakinifu.
 
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…