kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 852
Diamond na Kiba ndio mpango mzima. Wasanii waliobaki wamekosa ubunifu
Diamond na Kiba ndio mpango mzima. Wasanii waliobaki wamekosa ubunifu
Mashabiki wa Hip Hop wanawaumiza vipi wasanii wa Hip Hop,mfumo wa muziki uliopo Tanzania wasanii hawapati wanachostahili (Taarab,Gospel,Dansi,Bongo Fleva,Hip Hop ) .Media zimechangia kwa kiasi kikubwa kuufanya Hip Hop uonekane music mbovu nafikiri unakumbuka ule mgogoro wa Vinega vs Clouds Media .Ni aibu kuleta wasanii wa Nigeria,South Africa wakati wapo kina Juma Nature,Msaga Sumu,Hadija Kopa,FID Q,Lady Jay Dee,Diamond ambao wana ushawishi mkubwa kwenye jamii yetuhapo nimekuelewa mkuu, ila ni lazima kutakuwa na tatizo sehemu, niliona juhudi za tamaduni music kubadilisha mziki wao kuwa pesa zilivyogonga mwamba, M lab walijitahidi kuandaa matamasha lakini walikuwa wanapata hasara tu, ukiangalia upande wa pili wa shilingi ni tofauti kidogo, watoto wanaanda shows kiingilio ni elf 20 hadi 50 na wanajaza, lazima ukubali ubinafsi wa mashabiki wa hip hop unawaumiza wasanii, kingine ni medias... kuna kipindi media zote ziliaminisha umma kuwa hip hop haiuzi, hii imewajengea mentality wasanii wetu kuwa wanafanya tu for love na wakati wana majukumu... nakubaliana na wewe asilimia zote lakini kuna sehemu kuna tatizo
Wekeni iyo ngoma wakuu na sisi tuisikie
Wekeni hapa hiyo ngoma
Ngoma ya kawaida sana, inshort ukishaondoka kwenye system kwa kipindi chote hiko usitegemee utarudi utukute washabiki tunakusubiri.
Nimeshindwa kuiweka hapa, ila unaweza kuipata kwenye hii link
New Music: Jay Moe – Pesa ya Madafu | Bongo5.com
Jay Moe bado anafanya muziki wenye sense tofauti sana na akina Nay Wa Mitego au akina Madee. Nimeusikia huu wimbo bado ni madini ya kiuandishi na sio mipasho.Nimeusikia jamaa haeleweki