Ujenzi wenye gharama nafuu na muonekano mzuri wa nyumba yako

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,876
2,187
Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo
Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana
Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba au kufanya mambo mengiiiiiiiiii kama mchana

Mashine ya interlock ni 850000 tu (laki nane na nusu tu) tupo dar es salaam

0E890BE2-B6D1-4A88-B831-CEB627B7F971.jpeg
 
Specifications zake zikoje?Nishati gani inatumia?Kwa siku inatoa Tofali ngapi?Ukubwa wa Tofali? Tofali zinajengwaje?Zinadumu Miaka mingapi?
Kwa nini miradi ya Serikali hasa Shule na Afya hawazitumii?
 
Hizi zipo aina mbili kwa upande wa nishati inatumia nguvu(manual) au kutumia mafuta inatgemea hitaji lako
Ukisema miradi ya serikali haitumii nadhani umetumia neno pana sana NHC,Jeshi,TBA hata hizo shule zipo nyingi wanatumia interlock bricks labda eneo lako
 
Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo
Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana
Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba au kufanya mambo mengiiiiiiiiii kama mchana

Mashine ya interlock ni 850000 tu (laki nane na nusu tu) tupo dar es salaam

View attachment 3002608
Hakunaga ujenzi wa bei nafuu bali ujenzi hafifu na imara
 
Back
Top Bottom