jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
kudukua mawasiliano ya mtu ili kumuokoa mtu ni halali kisheria.....usiwe muongo mkuu.Na ndo maana nikamkumbushia kuwa wakati wanafanya hayo kipindi hicho hapakuwa na sheria ya wazi ya mtandao, kwa sasa hivi majira yamebadilika kuna sheria ya mtandao ambayo hairuhusu kudukua mawasiliano ya mtu, na hata kama chadema wana hayo mawasiliano anayotaka mtoa mada haiwezekani kuweka hadharani kutokana na sheria iliyopo kwa wakati huu. Unafikiri ujasiri huo watautoa wapi!?