Uingereza anachapwa sasa hvi na Iceland!

Uingereza wanatisha kwa SOKA LA kwenye vyombo vya habari, lakini uwanjani no.


Hahah angalau kuna mtu ameanza kuwashtukia Waingereza, hawa jamaa ni wazuri sana kwa media, ukisikiliza media zao utafikri Dunia nzima imeanzia na kuishia kwao kumbe fiksi tupu, sasa wanaabika balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…