UGANDA: Msemaji wa Jeshi la Polisi auawa kwa risasi pamoja na walinzi wake wote

Taarifa toka Uganda zinadai kuwa msaidizi wa IGP amepigwa risasi na mlinzi wake.

4ad789cf7c268d46d885483f2af18182.jpg
No more to build on there,and we since we are not the one dead,turn to our affairs. Lesson has been learned.
 
Habari za hivi punde zinadai msemaji wa jeshi la polisi aliyeteuliwa hivi karibuni bw. Fredrick Auwesi ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikama.
Msemaji huyo alimiminiwa risasi akiwa ndani ya gari pamoja na wasaidizi wake wawili ambao pia wameuawa.Alikuwa njiani kwenda kuwahutubia wanafunzi wa Kampala Christian University ambao tayari walishakusanyika kumsubiri.
Mh ! Kuwahutubia wanafunzi kuhusu nini?
 
Wewe ndo mpuuzi mnafanya vitu vya kijinga kuwaonea wananchi utwala wa kibabe lazima mambo kama aya yatokee lazima cha maana waheshimu Wananchi msijifanye Miungu watu nafikiri kama Tanzania kuna kitu cha kujifunza
Ngoja yakupate ndiyo utaelewa ulivyo mpuuzi.Na ukiona jitu lenye mawazo kama yako haikosi hilo nalo ni lihalifu.
 
41cf730851355fc5d4d6d2f7e81c557e.jpg


Msemaji wa jeshi la polisi? kana kwamba wako juu ya kila kitu na hakuna baya la kuwapata, kama sio inside job. Mtihani kweli.

Hiyo Chadema in blood sijui ina maana gani.
 
Binafsi nachukulia tukio hili kama ulipizaji kisasi watu na walizi walio uawa na jeshi au Polisi wa Uganda huko kasikazini kwenye makao makuu ya Mfalme sikumbuki wa kabila gani la Uganda - watu wengi walipoteza maisha yao katika operation hiyo na inaelekea jamaa aliyepigwa risasi zaidi ya mia ndiye alikuwa kamanda wa operation hiyo - I might be wrong lakini mazingira yana onyesha hivyo.
 
Kwani hao police unao watetea wanaua watu wangapi.
Ngoja na wewe au ndg yako wa karibu auawe na hao majambazi nione utakavyoshabikia,ukiona mwenzako ananyolewa wewe Tia maji.Hayo yatakapokuingiza kwenye 18 zao waambie wewe hua unafurahia na kushabikia mauaji ya Polisi naamini watakupa zawadi kabla kukuachia bila kukudhuru.Kumbuka kua anayeshabikia mauaji ya Polisi Kama wewe basi unaweza ukawa ni jambazi au ni sehemu ya mpango wa mauaji hayo.
 
Back
Top Bottom