paka wangu wengi si wa mtaani pia ingawa nafnya interbleeding ili niwe na Chotara kwa sabb huenda maziwa ya paka yakawa ni dawa kubwa sana hasa hawa chotara....hii bdo inafanyiwa utafitiMkuu hilo soko la paka kwa manyaunyau umekosa mbona wiki tu utakuja kuomba nawe uuziwe.
Naomba kujuzwa matumizi ya paka haonatamn uje kweny eneo langu ujionee fursa
paka anakaz nying sana Wengine hutumia ngoz za baadh y paka kutngenezea mapmbo paka china huliwa hvyo ongezeko la wachina bongo ni fursa,pia wengn huwafuga, wengine ni walinzi so kila mtu ananunua kwa lengo lakeNaomba kujuzwa matumizi ya paka hao
na wateja wa hao paka ni watu wa aina gani
napenda kujifunza nami niingie kwenye hii fursa
Nielimishe mkuu! Labda na mimi naweza anza hiyo biashara.mkuu mimi sipo ulaya nipo bongo na kwa mwezi naingiza si chinna ya 5 ml kwa biashara hii.
Kuna paka weusi wa kutisha huku... Walikua watatu mmoja alichukuliwa na jirani, mwingine akaliwa na mbwa, kabaki mmoja. Mama yao ni black and white. Kila uzao lazima vitoke vyeusi. Saivi ana mimba kubwa tu.wakuu pia nahtj paka ambao ni over melanine yan weusi ambao si wakawaida ili nifany interbleeding yyte mweny paka huyu aniPM
upo wap mkuu naomb tuwasilianeKuna paka weusi wa kutisha huku... Walikua watatu mmoja alichukuliwa na jirani, mwingine akaliwa na mbwa, kabaki mmoja. Mama yao ni black and white. Kila uzao lazima vitoke vyeusi. Saivi ana mimba kubwa tu.
Utanunua mkuu! Sikupi bure. Una bei gani?mkuu nipe huyo paka ninahtj sana paka mweusi kwa sasa ntk kuchanganya bleeding na paka ya rangi damu ya mzee wanaitwa amazon cat
Nataka paka wa kulimia kama maksai unao??Ngudu wa jamii habari zenu.
nimeanza ufugaji wa paka nilianza na paka majike manne na dume moja sasa hv nina paka takribani mia hamsini na natarajia ikifika mwezi wa sita nitaweza kufikisha paka kati ya 200 -250.
Faida kubwa ya kufuga paka ni kuwa huwafugi kweny banda unawaachia wanlala ndn na hawachafui mazingira.
Pamoja na masoko nliyonayo pia kwa wanajamv weny kujua soko jingine la uhakika la paka aniPM ili tuweze kufanya biashara.
oda inaanzia paka kumi na kila paka ishirini nakupa discount kubwa.
na pia natoa elimu ya jinsi ya ufugaji mzur wa paka.
Duu! Mkuu wee kibokoNataka paka wa kulimia kama maksai unao??
uoga wako umasikini wako,wangapi walijarbu wakawezaMkuu ni kweli kuchangamkia fursa ila kwa maisha yetu waswahili tunavyojuana watu hawakawii kukusitishia uhai wakikuhusisha na imani za kishirikina maana unakuta nyumbani kwako pamejaa manyau kama100 wataanza kusema unafuga mizukule ndo hapo unapoweka roho rehani mbuzi kuku ng'ombe nitafuga hata laki lkn nyau Mkuu wewe fuga na tukiona sredi haijibiwii tutajua ndo umeshatangulia mbele ya haki Mkuu.
Ukienda kumuuzia nistue nikupeleke usiende peke yakoUtanunua mkuu! Sikupi bure. Una bei gani?